Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Mkuu unanipa Hasira Sasa niStake Pumbu nimekwambia wamesepa na kila kitu.MPE tot Leo anashinda
Tot wanashinda wapeMkuu unanipa Hasira Sasa niStake Pumbu nimekwambia wamesepa na kila kitu.
Dah Sorry mkuu hawa watu sio.
Nimewapa nimestake Mguu.Tot wanashinda wape
Godadam it shit!!!!Nimewapa nimestake Mguu.
Mkuu nimevunwa kila kitu usione hasira nimepakuliwa mifuko yote, uliposema nimpe Tot nikashikwa na hasira maana wamekula hadi Bonus.Godadam it shit!!!!
Da OK! Ila ukitaka kubet njoo nikupe ushaur usikurupuke mzee babaaaMkuu nimevunwa kila kitu usione hasira nimepakukiwa mifuko yote, uliposema nimpe Tot nikashikwa na hasira maana wamekula hadi Bonus.
Pamoja sana usijali.
Conner Sio Kwa game zote ni baadhi tuHiyo company ya princess mbona sizioni hizo option za kona zipo tu zingine za over,under nk unatumia link gani
weka ushauri jukwaani mkuu tunufaike woteDa OK! Ila ukitaka kubet njoo nikupe ushaur usikurupuke mzee babaaa
AminaShetani apite mbali na wewe
Hongereni sana mlionifata ktk huu mkeka Pia.Chukua huu hapa chini.
Ukiliwa nakurudishia stake yako
Tia pesa ndefu Kadri uwezavyo
View attachment 652338
Sawa mkuu nashukuru sana.Da OK! Ila ukitaka kubet njoo nikupe ushaur usikurupuke mzee babaaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ....umenikumbusha mbali..sana kuna kipindi hii mambo ilinitokea nilikuwa nawakwepa wakala utadhani wananidai....ikabidi niwe nabadili chimbo daily...Bora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.
Kuna wakala mmoja pia nimemkimbia kwa aibu kila siku naenda Kudeposti hata 5000 kwa siku dah wote wamekariri namba zangu, siku ikiishasijaenda Kudeposti huwenda sipo eneo lile, Imefikia hatua hadi nakwepa Mawakala nikadepost kwa mawakala Wapya.
Leo nimeenda Mara 2 jana mara 2 nikifika tena jioni hii si atasema namsumbua japo ni Biashara.
Masikini dah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hiki kitu kinauma sana, Eti kwenye account yako utakuwa na pesa nyingi kumbe hajui wewe ni wakala wa Kanji.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ....umenikumbusha mbali..sana kuna kipindi hii mambo ilinitokea nilikuwa nawakwepa wakala utadhani wananidai....ikabidi niwe nabadili chimbo daily...
Kuna siku mdada mmoja wakala akaniambia kaka kwenye account si utakuwa na hela nyingi sana maana kila siku unaweka pesa....nilivyosikia hivyo sikurudi tena kwake kuweka pesa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nacheka siyo kama mazuri,dah hii kaz ngum sana, usione wengine hatuongei tunaumia moyon kimya kimya tu mkuu, ila ipo siku tuBora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.
Kuna wakala mmoja pia nimemkimbia kwa aibu kila siku naenda Kudeposti hata 5000 kwa siku dah wote wamekariri namba zangu, siku ikiishasijaenda Kudeposti huwenda sipo eneo lile, Imefikia hatua hadi nakwepa Mawakala nikadepost kwa mawakala Wapya.
Leo nimeenda Mara 2 jana mara 2 nikifika tena jioni hii si atasema namsumbua japo ni Biashara.
Masikini dah.
BET WONSakarya Bsb v Royal Hali Gaziantep
AWAY UNDER 73.5 POINTS
odds 1.65