Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

UPDATE.....

wakuu supu yetu kwa alfajir ya leo naona inazidi kunona na kuiva vizuri.

Hao kina Auckland na Canterbury naona nishamalizana nao biashara.

Wamebak hao wanawake wa Brisbane na kina Waitakere peke yao.

Odds 1.64

Stake: 50,000 Tsh
Marejesho : 82,000 Tsh

EEH MUNGU SAIDIA, NMECHOKA KUNYWA KAHAWA MIMI.
 
Duh uliuweka saa ngapi huu mkuu ??
 
Hakuna siku nilioamka nikajihisi na gundu kama Leo!!

Legia Warsaw, Montpellier, Macabii Haifa wote wameninyima double chances katika mikeka mitatu tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…