Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimeona mzee kutoa pesa wana anzia buku tatu nakuendelea wanatumia Airtel Money na m-pesa simple tu
Sio kusema "ni simple tu "

Eti kwa sababu marketing manager kasema.

Cha muhimu, ni ww kuthibitisha mwnyw in action.
 
Nimecheza in play moja hapa kipindi cha pili
Team BJMC v Rahmatgonj MFS Total Goals - Over/Under 0.5( Under 0.5 goals 2.10) naona kitu kimetoka kama utani
 
Wazo Tu :

Kueni makini sana na Man City kwa 3+, natazama SS3 muda huu epl news zinasema Gabriel Jesus ni injury(Knee ligament), KDB ni injury pia, David Silva haijajulikana kama atacheza leo maana alienda Spain ku solve issue zake, sasa usije kushangaa City anashinda 1-0 tena anafunga Sterling ama Aguero dk za majeruhi uko. Ikumbukwe kua hii ni round ya pili ya ligi watu hawataki kushuka daraja. Nashauri subiri Team sheets zitoke 30mins before game kuanza
 
Shukran sn mkuu,

Ubarikiwe sn kwa mchango wako ktk huu Uzi.
 
Mm mwny nmewastuka hao wadau.
Ndo maana nmebet first half.

"1st half-Not both team to score"
 
asante mkuu nahisi hivi ndo inavyotakiwa mtu ajibu na sio kudharau mawazo ya watu
 
Singida United v Zimamoto (Under 4.5 goals)
Mohun Bagan v Chennai City (Over 2.5 goals)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…