betting haitabiriki hata kidogoHujaeleweka kabisa
Wazo Tu :
Kueni makini sana na Man City kwa 3+, natazama SS3 muda huu epl news zinasema Gabriel Jesus ni injury(Knee ligament), KDB ni injury pia, David Silva haijajulikana kama atacheza leo maana alienda Spain ku solve issue zake, sasa usije kushangaa City anashinda 1-0 tena anafunga Sterling ama Aguero dk za majeruhi uko. Ikumbukwe kua hii ni round ya pili ya ligi watu hawataki kushuka daraja. Nashauri subiri Team sheets zitoke 30mins before game kuanza
Warusi si wazungu waaminifu sana katika kufanya nao biashara ukilinganisha na wazungu wa uingereza,ujerumani,sweeden au tuseme tu wazungu wa magaribi wengi ni waaminifu na matajiri kuliko wa ulaya masharikiBoss kwan
Bet365
Williamhill
Ladbrokers
Izi zote ni international betting coy
Na hazija sajiliwa tz ila still kuna watu wana zitumia inakuaje ww una sema 1xbet haija sajiliwa bongo na Mr. Q apo ame tuonesha sms muda mfupi baada ya kutoa pesa imekubali??
Au ww uliitumia kipind cha nyuma ndo uje kuconclude kwamba iyo kampuni haifai na haija sajiliwa bongo so una taka tutemane nao??
MeriadbetCompany gani hii?
Meridian betCompany gani hii?
Sijui katoka wapi?Hujaeleweka kabisa
Share Slot za leo mkuuHa ha ha ha kila la kheri Mkuu....nakukumbusha uyo Aguero hafungi bila kupewa assist na hao watu ambao wengine muhimu leo hawamo, all in all hii ni betting
tutajie na odds zakeScotish league 1&2 huko ndio kuna hela leo.
Dundee united-win
Montrose-win
St Mirren-win
Championship
Wolvehamton -win
Niwatakie kazi njema.
Dundee united 1.15tutajie na odds zake
poa zinaridhisha ngoja tuingie onlineDundee united 1.15
St Mirren 2.45
Montrose 1.50
Wolve 1.86
Jamaa wanatoa overs kama hawana akili timamu.You must admire the Chinese kwenye Basketball aisee ... hawa jamaa wananipaga raha sn.
Unaweza ukawa umewapa Over 230 halafu Q4 dk 12 (dakika ya mwisho) wakawa na vikapu 218 na wakatoa Over 230 vizr kbs ... Hawa ni majembee !
Chunga st mirren pale afadhali 1xDundee united 1.15
St Mirren 2.45
Montrose 1.50
Wolve 1.86
Naona umejilipua kbsabasketball ina pesa wakuu
Mohun[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ligi ya India kweli kimeo home team alikuwa na odd 1.3 naona anaelekea kufa pamoja na kwamba timu pinzani ina red card