Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mabinti wa Mfalme[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] . Ndo watamu hawa, Na Zali juu la Utajiri[emoji39] [emoji23]
 

uko sawa mkuu lakin hapo nadhan tunarudi kwenye msingi wa hoja kuwa tatizo n mtaji
 
Kama upo serious na hii business ndio inabidi uchukue hata lak5 ya mwez mmoja ya mshahara wako si ndio kuwekeza au wewe wanaposema kuwekeza ktk hii thread unawaza nini Mkuu?
ahahahah anafikiri labda ni kutafuta 10000 na kutafuta odds 50 ili apate laki tano.
 
Slot No. 2
Peterhead FC - Elgin City
Peterhead FC
1.40

Greenock Morton FC - FC St Mirren
Over 1.5
1.27

Hizi nadhani zimeanza unaweza ziwahi inplay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…