Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu basket inalipa ,,,hadi kufikia leo kwa single bet za over na under kwny basket kwa stake za laki 1 zaidi nimeshapata ela ya kodi ya miezi 6 na nimepoteza mikeka 3 tuu kati ya 10 kuanzia tarehe 28 hadi leo
Kuanzia leo naomb nitag na mimi nitafute kodi mkuu...
 
Tujitahidi kuachana na mapopompo wanhumunndani mkiona maneno yao msiyarukie sana kywatoa kwenye mstari wakazi

Kuwajulisha tu mume wenu n walewale mliokuwa mkipambana nao sababu ya kuharibukazizao za kuita watu inbox in MTU mmoja ana v I'd vyake yofauti anafanya kuwasumbua

Embu wapotezeeni basiii Wàpiii Deep??letemzigoooo
 
BET WON PIA HUU NILICHANGANYA NA KIKAPU HAPA MECHI MBILI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…