Pombe ni ile unayoinywa ukafumba macho sio unakunywa pombe kama unakunywa sodaHata mm ndo Huwa na washangaa
Wanaposema wankunywa castle light
Mm nashindwa kuwaelewa kbsa
Maana naona n kama wankunywa soda
Pole mkuu, ila k-vant ina kauafadhari kidogo lakini sisi huku tumezoea kunywa tanzania konyagi ile kubwa ya 10,000/= huku tunaiita 'bombadier' ile inachangamsha kidogoHahahaha, Lite nakunywa kushushia mkuu ... natanguliza ka K-Vant kadogo kale saaaaafi !
Ila Chelsea na mwenzake Leicester City wamenivuruga sn leo.
Dah sijui katoboka hata sielewi dahSevilla ... daaah ! ... matimu mengine sijui tuyafanyaje mamaeeee ... yani hayaaminiki kbs, grrrrrrrrrrrrrrrrrr
Dah sijui katoboka hata sielewi dah
Chelsea wamenivurugia mkeka wangu manina zaochelsea hata siwaelewi siku hizi
Niliamka asubuhi nina 130k mpaka naenda kulala muda huu na 40k....naandaa mikakati ya kuzirudisha 'to quit is not an option' usiku mwema wakuu
Mtaji wako unaonekana mkubwa sana unaitafuta 5K kwa 40KPole sn mkuu.....
Nliiona hii tip yako humu, fasta fasta nikaichangamkia fursa.
Sema, niliichukua kwa tahadhari zaidi.
Sevilla hawawez kuondoka na ada ya watoto wangu. Sitakubali kamwe.Yamechomoa ... lkn sitashangaa yakipigwa tena, yanajisahau kinoma noma.
Dah hapo hatuna chetu *****Yamechomoa ... lkn sitashangaa yakipigwa tena, yanajisahau kinoma noma.
Kurudisha na ushindi duuh hapo muhindi kashachukua vyakeSevilla hafungwi nyumbani atarudisha
Atarudisha stake zetu?Sevilla hafungwi nyumbani atarudisha