Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah kazingua kabaki yeye tu watu tuvute mpunga anabigwa goli za ajabu ajabu



Hovyo kabisa huyu ... naona na Lyon nae kapigwa goli 2 za haraka haraka in less than 5 mins ... daaaah hizi timu shida sn.
 
Eibar jeshi sana ila ndio wananyima kona 9 ***** zao, bora Palmas kafungwa anaweza leta kona 3 zilizobaki
Pole sn mkuu,

Ila
Eibar & Las Palmas hawafai kabsa kwny corner.

Kwny somo LA corner tulishaeleza hili humu jukwaani.

Na hao no mojawapo ya timu zisizofaa kW corner
 
Siku Tasa kabisa kwangu, mikeka mitatu yote chali, nimejaribu basketball na ice hockey pengine nitapoza machungu
 
Siku ya leo ni mbaya kuwahi kutokea kwenye hii biashara yani hawa jamaa eibar na mwenzake wamepiga kona 1 kipindi cha pili chote....dah huu mchezo sijui nani alinifundisha ***** zake
Acha masihara mkuu.

Afu ww si ulkuepo kpind naelezea na kuchambua khs timu za kuzpa corner?

Huyo lasPalmas,eibar,malaga,athletico,getafe,levante.

Zote hzo hazfai kabsa kwa corner mkuu
 
Acha masihara mkuu.

Afu ww si ulkuepo kpind naelezea na kuchambua khs timu za kuzpa corner?

Huyo lasPalmas,eibar,malaga,athletico,getafe,levante.

Zote hzo hazfai kabsa kwa corner mkuu
Amini hakuna anaependa kuliwa so be patient mkuu kupigwa kupo tu wether kuna somo or not ingawa linasaidia lakini sio mara zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…