Maana yake Miami ashnde mechi kwa wingi wa vikapuMkuu naomba ufafanuzi wa option ya Miami ambayo umeitoa manake nimeifata na sielew maana yake
Miami ashinde mechi kwa kufunga vikapu ving zaid ya mwenzieView attachment 670491 hii option ya basket inamaana gan wakuu
Shukrani sana mkuuMaana yake Miami ashnde mechi kwa wingi wa vikapu
Basketball24Jaman msaada app inayohusiana na basket ball
May god bless uAmebaki Celta Vigo vs Madrid nimewaomba corner over 8.5 ... I hope hawatadisappoint.
Mkuu hivi ulishea? Uwe una share na sisi basi mkuu.Amebaki Celta Vigo vs Madrid nimewaomba corner over 8.5 ... I hope hawatadisappoint.
Miami ashinde including over timeView attachment 670491 hii option ya basket inamaana gan wakuu
May god bless u
Mkuu hivi ulishea? Uwe una share na sisi basi mkuu.
Dah! Umenipita aiseeYes Chief nilishare na ndio maana nimeuquote from my previous post.
BET LOST wakina Bilbao wameharibu...Loading....
View attachment 670334
Hapa ni zaidi ya whatsapp, tena uzuri wa hapa hata bila mb unaingia tu.Mi nilikuwa na suggestion mnaonaje tufungue group la whatsapp pia?