Ha ha ha mkuu hawa desturi yangu ilikua kuwacheza Halftime over 1.5 kwa single betClub friendlies zote wametoa 3+ ... af wametoa GG&3+ kasoro game moja tu !
Somo uliloahidi kulileta naona kimya mpaka sasaDah,
Wakuu tumepishana na hii hela aisee.
Kumbe leo,
MAGDEBURG alkua uwanjani!
Nastuka namuona live score anaongoza 2:0 halftime.
DAH, INANIUMA SN KUPISHANA NA HII ELA.
NA NAONA KUMBE ALIPEWA ODDS MLIMA KWELIKWELI.
Cf malaga ndio itashinda au?Slot No.3
Malaga CF - Espanyol Barcelona
CF Malaga
1.13
Brighton & Hove Albion FC - Crystal Palace
Under 2.5 goals
1.49
Nitalala Mapema Niziwah.. Mzitupie Humu Tupatapo Sote Bac KiongozHii kukesha inapunguza ufanisi kwenye kumiss baadhi ya crucial games kwenye inplay.
Ile siku inacheza GSW nilikuwa nimebet for almost 30 hrs bila kulala at time mechi muhimu kama hiyo niliyokuwa naisubiria kwaajili ya inplay nikashindwa kabisa nikabetia mikeka minne kuamka asubuhi ikawa imetiki mitatu.
Leo kuna games nzuri sana kwenye NBA, hivyo Ni vyema tukapumzika mapema kusubiria hizo game kuanzia saa 9 Alfajiri mpaka saa 12 asubuhi.
Shukrani mkuu nimezisubiria sana hizi slot.Slot No.2
GD Estoril Praia - CD Feirense
Under 1.5 goals (First Half Results)
1.34
FC Pacos Ferreira - Portimonense SC
Under 1.5 goals (First Half Results)
1.40
Wengine hawa...Club friendlies zote wametoa 3+ ... af wametoa GG&3+ kasoro game moja tu !
Sorry,Somo uliloahidi kulileta naona kimya mpaka sasa