Swali kwako,Mkuu kuna kitu nimeobserve, mara nyingi mikeka yako inachanwa na hii option ya Home/Away to win either half - Yes.
Mimi nashauri tuachane na hii option, hebu jaribu kupitia mikeka yako utagundua.
Mkuu hii option ya psg inamanisha nnReal Madrid - Numancia CD
Under 0.5 goals (Numancia)
1.78
Villarreal CF - CD Leganes
CD Leganes (Handicap 0-2)
1.30
SC Amiens - Paris St Germain
Yes (Over 1.5 both halves)
2.70
LTi Giessen 46ers - Phantoms Braunschweig
Over 161.5 points
1.46
Odds 9.12
Mkuu hyo option c inamanishaMkuu kuna kitu nimeobserve, mara nyingi mikeka yako inachanwa na hii option ya Home/Away to win either half - Yes.
Mimi nashauri tuachane na hii option, hebu jaribu kupitia mikeka yako utagundua.
Hii n pesa kabsa
Timu ya ugenini ishinde kipindi chochote mkuu....Mkuu hyo option c inamanisha
Tim uliyoipa ishinde kipindi chochote
First half or 2nd half ama
Inamaana gan
Maana siielewag
Ndo maana ake mkuu.Mkuu hyo option c inamanisha
Tim uliyoipa ishinde kipindi chochote
First half or 2nd half ama
Inamaana gan
Maana siielewag
Yaaah mkuu ahsante kiongozTimu ya ugenini ishinde kipindi chochote mkuu....
Nadhani uli m quote wrong deeppond
Swali kwako,
Unaelewa maana ya hyo option ?
Au unalalamika tu kwasababu mkeka wako umechanika kwny hyo mechi ilopewa hyo option.
Nakufatilia kinoma ila kuna sehemu hua unajichanganya kama binadamu hua hakosi mapungufu. Mie mwenye nimeanza betting 2011 ila kuna vitu ume improve kwangu. Sasa hv naona umeshanipiku kabsa. In short upo vizuri. Kukosea kupo tu jamani let us relax and enjoy our betting. Ngoja niwambie, kama unamtaji for sure hakuna biashara simple na yenye pesa fasta kama betting.Swali kwako,
Unaelewa maana ya hyo option ?
Au unalalamika tu kwasababu mkeka wako umechanika kwny hyo mechi ilopewa hyo option.
Hii naona iko poah kabsaNdo maana ake mkuu.
Sasa sjaelewa anacholalama huyu ndg yetu ni kipi hasa mpk hv sasa.
Ndo maana ake mkuu.
Sasa sjaelewa anacholalama huyu ndg yetu ni kipi hasa mpk hv sasa.
Kipindi cha kwanza goli zaidi ya mbili na cha pili goli zaidi ya mbiliMkuu hii option ya psg inamanisha nn
That is trueNakufatilia kinoma ila kuna sehemu hua unajichanganya kama binadamu hua hakosi mapungufu. Mie mwenye nimeanza betting 2011 ila kuna vitu ume improve kwangu. Sasa hv naona umeshanipiku kabsa. In short upo vizuri. Kukosea kupo tu jamani let us relax and enjoy our betting. Ngoja niwambie, kama unamtaji for sure hakuna biashara simple na yenye pesa fasta kama betting.
Ni kweli mkuu, kila bnadam ana mapunguf.Nakufatilia kinoma ila kuna sehemu hua unajichanganya kama binadamu hua hakosi mapungufu. Mie mwenye nimeanza betting 2011 ila kuna vitu ume improve kwangu. Sasa hv naona umeshanipiku kabsa. In short upo vizuri. Kukosea kupo tu jamani let us relax and enjoy our betting. Ngoja niwambie, kama unamtaji for sure hakuna biashara simple na yenye pesa fasta kama betting.
Sjachukia mkuu.Maoni siyo kulalamika mkuu, km hujapendezwa naweza kufuta tu post yangu
Boss maoni uliyo toa n mazuri maana hata mm kuna mkeka nlkua masubir napoli ashinde half yoyte alkin akaishia kudraw 1st na sec akaishia kupgwaNaelewa, nimeshauri kwa nia nzuri tu.
Nakumbuka kuna mkeka alichana Zamaleck, kipindi cha kwanza alitoa draw hlf kipindi cha pili akafungwa.
Mkeka mwingine nakumbuka alichana km siyo Appolon ni Doxa, alitoa draw first half na second half pia ikawa draw.
NB: Sijalalamika na sina tabia hiyo, binafsi nashukuru kwa michango yako.
Ila sidhani kama nikiobserve kitu kama hicho siruhusiwi kutoa maoni?
Dhuuuuu 2+ Kila kipindKipindi cha kwanza goli zaidi ya mbili na cha pili goli zaidi ya mbili