Full time au mechi bado inaendelea?MACAE 3-3 ***** dah straight win ni hatari sana.
FULLTIME mkuu wamembwela sanaFull time au mechi bado inaendelea?
dah wamesepa na mkeka ***** zaoMACAE 3-3 ***** dah straight win ni hatari sana.
Kaka wasamehe same realize hilo naona wame cool cha msingi tuangalie tunatengenezaje uchumi tupe mikeka mkuu tukila ni vyema tukipigwa ni vyema zaidi lakini ambacho si chema kutupiana lawamaSasa km takwimu zmetenguka ,
Yann lawama za kuchanika mkeka wanitupie mm?
Kwani mkeka huo huo nlioshare kwa kupost humu unapochanika,wanaumia wao tu?
Au Mimi ndo hainiumi stake nloweka au?
YAAN HAWA NDUGU ZANGU WANAVOLALAMA NI KANA
KWAMBA MM NLIFANYA KUSUDI ILI NIWAINGIZE MKENGE ILI MIKEKA YAO ICHANIKE.
yani kuna mda nikikia nacheki live score huwa siamini kama tunazikosaga odd 2 tu
Pole sana mkuu,FULLTIME mkuu wamembwela sana
Over za kutosha hapo.
Ni Leganes chief...ila na wewe punguza munkari chief,jamaa wa mwanzo hukumuelewa vizuri,lengo lake lilikua sio kulaumu bali kutoa ushauri....ingawa uwezo wako ni mzuri sana kwenye analysis ila usiwe rigid sana maana takwimu zipo na sio mara zote zitakua applicable sababu ya factors mbalimbali...'we are team brothers with one focus...Green'Villarreal anawastani was kupiga corner 4.7 kwa kila mechi anayocheza
Laspalmas anawastani wa kupiga corner 4.4 kwa kila mechi anayocheza.
Kwa haraka haraka hapo, utapata wastani was corner 9.1 mechi yao ya head to head.
Kwahyo,
Kitendo cha Leo kupiga corner nyng kias hicho, ni jambo LA ghafla sana.
NA HALIKUTEGEMEWA KABISA.
Dah, sio ww tu mkuu.hali bado mbaya sana kwa upande wangu daah
View attachment 672776
View attachment 672777
View attachment 672778
over na dc za 12 kibaoOver za kutosha hapo.
Sina munkari mkuu.Ni Leganes chief...ila na wewe punguza munkari chief,jamaa wa mwanzo hukumuelewa vizuri,lengo lake lilikua sio kulaumu bali kutoa ushauri....ingawa uwezo wako ni mzuri sana kwenye analysis ila usiwe rigid sana maana takwimu zipo na sio mara zote zitakua applicable sababu ya factors mbalimbali...'we are team brothers with one focus...Green'
Acha uchocheziHawaelewi hao ila mikeka uliyo tupa ikishinda unasikia wooooon woooon lakn twende taratb tu mkuu kila mmoja na matatzo yake.
Acha uchocheziHawaelewi hao ila mikeka uliyo tupa ikishinda unasikia wooooon woooon lakn twende taratb tu mkuu kila mmoja na matatzo yake.
SaaawaSasa wewe unachanganya madesa. Mie simulaumu ila tulikuwa tunawekana sawa tu kuongeza ufanisi wa business. Hata matajiri wakubwa duniani hukutani kufanya tathimini ya biashara zao.
Ni kweli mkuu,Hahaha, hatareee sn ... sema hizi Friendlies hawaziweki zote bana ..
Yani huko ni mwendo wa 3+ tu ...chache sn hazitoi 3+