Agiza bia kabisa
Tuko pamoja mkuu.DeepPond shikamoooo ushauri wako jana na leo nimeusoma
Kama ni princes bet kuna muda hua wanazingua ila kesho utazionaHaya wakuu leteni mikeka ya baskett tuweke mambo tumuumize huyu kanji
Sijaelewa bdo mkuuKama ni princes bet kuna muda hua wanazingua ila kesho utaziona
Weka mambo mkuu twende sote
View attachment 673143
Any ammendments wadau kabla sija lipuka!!!????
Rumisha.. Odds Za NBA vip Kiongoz Wangu, maana wengine hatuna uweled na Basketball. Tupia Kiongoz
PrincessBet inatoa Home Teams za ajabu! Ndiyo bado najishauri kuweka stake.
Angalia picha hapa chini...
ahahaaa jana uliniambia nimpe madrid over 2.5 leo umesema handcap ya barca na celta haitatoa kwa celta nkafuata zote nimewin!!!sasa nataka nipe NBA shemeji yako ananidai elf 10 asubuh nina buku 5 hapa inazagaa nataka nimake prof.......Tuko pamoja mkuu.
Hakika mapambano yanaendelea
Thanks Kiongoz.. Nimeanza Kurudisha Mtaj Wangu .. Nw Kila Utakapoweka Odds Ni Kuzifata Tu Had Muhindi Akimbilie Kwao Bengarulu.
Kama sikosei unasubiria mkeka kama mm. Acha nimsubirie mtaalam wa basketahahaaa jana uliniambia nimpe madrid over 2.5 leo umesema handcap ya barca na celta haitatoa kwa celta nkafuata zote nimewin!!!sasa nataka nipe NBA shemeji yako ananidai elf 10 asubuh nina buku 5 hapa inazagaa nataka nimake prof.......
Hongera KiongoziAisee Deeppond nashukuru sana pesa yangu yoooote niliyokuwa nmeliwa imerudi nafaida juu.
Wakuu,MKEKA No.1
Odds: 3.43
Stake: 30,000 Tsh
Marejesho: 102,700 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 672998