Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha aren't these games fixed???
Chelsea
Madrid
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...no comment kwenye mechi ya Chelsea..kwa sababu sijaiangalia ila hii ya Madrid daah??magoli waliokosa...hapana asee....
Kama una amini.kuna game fixing basi huna haja ya kubet tuachie betting kacheze biko raha ya buku
 
Sasa kama hata wewe tunaekuamini unaleta habari za fixed matches tena du..
Game inakataa tu siku zingine
Kama umeliwa unajipanga..
Betting is all about risk turidhike na matokeo..
 
Dah Connah's anashughulikiwa....mbwa kala mbwa
Nlkua nacheck live commentary,

Wachezaj wao muhimu 2 wameumia kwny mazoezi.

Afu kuna wachezaj watatu wametoka nje DKK za mwanzo sababu ya injury.

CONNAN WANA HALI MBAYA UWANJANI SAHV
 
Sasa kama hata wewe tunaekuamini unaleta habari za fixed matches tena du..
Game inakataa tu siku zingine
Kama umeliwa unajipanga..
Betting is all about risk turidhike na matokeo..
Mkuu,
Mm Leo england sijagusa kabisa kwny mikeka yangi yote.

Hii ni baada ya kutolewa tahadhali ya match fixing kutokea kwa timu kubwa 3 ligi za england.

Ila nmetoa tu mtizamo wangu kutokana na nlvokua nauona mwenendo wa mechi.

NAOMBA NIELEWEKE HIVO MKUU
 
Sasa kama hata wewe tunaekuamini unaleta habari za fixed matches tena du..
Game inakataa tu siku zingine
Kama umeliwa unajipanga..
Betting is all about risk turidhike na matokeo..
Mkuu game fixing ipo!!amini usiamini hivi umesahau Juve ilishushwa daraja baada ya kufanya huu mchezo?FIFA na vyama vya soka vinalijua hili ndio maana kuan wakati wanalifatilia kwa mbali, hayo mambo yapo juzi juzi tu hapo uingereza yule jamaa alicheza deal na kampuni ya betting kua atakula kababu uwanjani game ikiendelea alikula kweli wakamchunguza na kumfungia. Game fixing sometimes ipo kati ya kampuni za betting na team ili kuziongezea kipato team (Italy ndio michezo ya kimafia)

Note: Kuwepo kwa ilo sio sabab ya watu kuacha ama kurudi nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…