Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Hii inaenda kutoa waliofanikiwa kuplace bet kaeni mkao wa kula mimi kanji kanihanisi inplay zote zinazoenda kutoa server inaleta error ila zile za kupigwa zinakua successfully ***** hapa kuna kamchezo sio bureInplay Barca win odd 2.5
Ha ha ha......
Imenibidi tu nicheke kwa jinsi gani stake yangu inavoungua huko
View attachment 675586
king katuingiza king 3-0 mpaka muda huu
angalia leo msimfuate jamaa kwa pupa huwenda ni mchezo unaandaliwa ili watu wapigwe vizuri
maamuzi yanabaki kwako
Ha ha ha......
Imenibidi tu nicheke kwa jinsi gani stake yangu inavoungua huko
View attachment 675586
king katuingiza king 3-0 mpaka muda huu
Pumas kaongeza la 3
Ishabuma ile Cs
King ***** zake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Update.....MKEKA WA PESA No.2
Odds: 2.89
Stake: 45,000 Tsh
Marejesho: 130,050 Tsh
NB:
Uyo wa kwanza ni football-cyprus
Uyo wa pili ni vollyball-italy S1
Uyo wa tatu ni handball-nternational Euro Men
Mapambano yanaendelea
View attachment 675379
Ni kweli aisee,hii niliisema tangu jumamosi
Ni kweli aisee,
Nakumbuka ultoa tahadhari mkuu
Ngoja ncheki km unawz patkana MKEKA wa ziada usiku huushukran mkuu naona mkeka wetu namba 2 tayr ushasoma
hakika ubarikiwe,
sasa ngoja tusubrie basketball
Sure brother wameondoka na kaki yangu saaafi[emoji23] [emoji23]
Deeppond nashukuru hela yangu imerudi kwa mkeka wako mmoja tu hela ya bwana King a.k.a John singNdo maana kuna mdau humu alitahadharisha kua ni vema watu waende kwa tahadhari.
Kuliko ile kujilipua mzima mzima
Ngoja ncheki km unawz patkana MKEKA wa ziada usiku huu
Wakulalia vp?Hongera sn mkuu
Alafu ndio ulikuwa mkeka wa maana Deep pond ni zaid ya Kingshukran mkuu naona mkeka wetu namba 2 tayr ushasoma
hakika ubarikiwe,
sasa ngoja tusubrie basketball
OV 5.52-3
Ov4.5
[HASHTAG]#booooooooooom[/HASHTAG]
WAITN
OV 5.5
Kalesupuu mkuuuuSafi sn mkuu ...nlichukua hii ya Handball toka mkeka wako No. 2 naona wameshaweka kijani ... maombi yamebaki kwa Barca na PSG nliwapa direct win.