Mkuu pesa imeenda na meseji imerudi kwamba nimefanya muamala online zaidi ya masaa 2 haisomi wameanza kama Meridian sijui?mkuu yawezekana muamala hujaukamilisha, kamilisha kwanza muamala pesa yako itaonekana kwenye account yako. hata Mimi mwanzoni ilikuwa inanipa shida. tumia m.pesa kwa usalama na uhalisi zaidi
Man utd mpe kama hua wamuaminiUshauri tafadhali
Porto win
Olympiakos win
Manchester united 1x
Man u hawaaminiki .Stoke defence.wacha nife na 1xm
Man utd mpe kama hua wamuamini
Its true ni 0-0...angalia site unayotumia possible umemix team isije ukawa unacheza za watotoKanji kachanganyikiwa game ipo 2-0 dk 38. Nimemfuata na Hapoel Kfar Saba WIN kwa Odds 2.5.! Kwake inaonyesha 0-0 dk 38. Leo atajuta.
View attachment 676354
Goli zimefutwa zote mbiliKanji kachanganyikiwa game ipo 2-0 dk 38. Nimemfuata na Hapoel Kfar Saba WIN kwa Odds 2.5.! Kwake inaonyesha 0-0 dk 38. Leo atajuta.
View attachment 676354
Jombaaaa umechanganya 2-0 ni nyingnWadau nendeni online mcheze hii game ya Hapoel Kfar Saba! Game ipo 2-0. Ila option ya Over 1.5 goals ipo active na ina odds tamu balaa...
Game bado droo umejichanganya arifuuuuWadau nendeni online mcheze hii game ya Hapoel Kfar Saba! Game ipo 2-0. Ila option ya Over 1.5 goals ipo active na ina odds tamu balaa...
Goli zimefutwa zote mbili
Jombaaaa umechanganya 2-0 ni nyingn
Usijali mkuu Mungu atakusaidia itatoa tuHapana mkuu, ilikuwa 2 goals flashscore! Sijaelewa kwanini zimefutwa.
Itapendeza mkuuTuendelee kuchambua wenyewe huyo jamaa wa facebook atamaliza watu. Ntaanza kuleta mikeka ili mchague wenyeweView attachment 676100View attachment 676101
Usijali mkuu Mungu atakusaidia itatoa tu
Duuh usiku huu balaa timu tulioipa Vikapu under 84.5 inampigaa mwenzie balaaNahisi kutetemeka [emoji12][emoji12][emoji12]
Stake hatari sana...
Duuh usiku huu balaa timu tulioipa Vikapu under 84.5 inampigaa mwenzie balaa
mkuu hiyo kampuni inayotoa kona na hizo ligi inaitwajwe?
mkuu hiyo kampuni inayotoa kona na hizo ligi inaitwajwe?