Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wakuu nimechezea za uso hadi mtaji umekata.imenibidi nichukue pesa za moto tsh200000 return 260000 within30deys
hatimae nimeanza hiv:
cska moscow vs anadolu efes(europe basket)over 169.5
fenabache vs panathinaikos 1
r.madrid vs soski baskonia-home achinde kwa wining margin 8ball.
cc;BUDDY.KONCHO77,DEEPPPND etc ushauri wenu kabla sijastake
|sikio la kufa,halisikii dawa:
 
Hiyo game ya Fenerbance itathmini upya mkuu maana hao Panathnaikos nao sio watu wa mchezo mchezo....ukijiridhisha tupiamo
 

Nipo kwenye apartment, maswala ya nyama choma jioni. Wife niko naye mbali aiseeh. Ila hawezi kukosa kutumiwa chochote
 
Subiri tips toka kwa viongozi kwanza nafikiri masaa mawili yajayo Deeppond atakuja na cheque hapa
 
Hiyo game ya Fenerbance itathmini upya mkuu maana hao Panathnaikos nao sio watu wa mchezo mchezo....ukijiridhisha tupiamo
ni kwl mkuu ila nimecheki h2h zao naona fennabahce anamsumbua sn panathiakos na game anazocheza away sio mzuri xn kiivyo.
 
ni kwl mkuu ila nimecheki h2h zao naona fennabahce anamsumbua sn panathiakos na game anazocheza away sio mzuri xn kiivyo.
Kumbe ndio maana unapoteza pesa mkeka unautunga mwenyewe alaf ukikosolewa unapinga alaf ukipigwa chini unahisi negativity tu
 
Nilisemaa asbh wahinii ov 2?5 jamani zaa maana kule intern match
 
WAKUU HIVI HAWA SPORTPESA WAKO VIPI KWENYE HUDUMA ZAO,NIMEJIUNGA NAO LEO NIKAFANYA DEPOSIT ILA NI MASAA 3 SASA ACCOUNT HAISOMI CHOCHOTE,NIFANYEJ?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…