Kabisa mkuu! Matokeo ya NBA acha tu. Halafu mdau anasema direct win kwenye Basketball ndiyo rahisi kutabili. Ndiyo maana nikakaa kimya kwenye huo mjadala, naomba atupe feedback ya zile TIPS zake.
Kaka awa na Chase ni nyumbu KABISA wamepita na kamtaji kangu.Suarez yumo mbona mzee ... sema wamekosa penalt, wangekuwa wanaongoza 1 saiv.
Pole sana kakaLeo mchana nmeshinda central
Almanusra ningelala korokoroni Leo .
Hii nimeipenda umepotezewa mda lakin still umetoa fundisho skunyingine hakufungii bila kutoa maelezo.Kuna mjinga mmoja kutoka Tra,
Alkuja akatia kufuli afisini kwangu.
Nkaona ujinga huu,
unanifungiaje ofisi asbuhi asbuhi hata kuifungua sijaifungua.
Wala hats maelezo hajatoa
Nkabeba nyundo na nondo kalivunja kufuli lao.
Nkafungua ofisi yangu.
Mda so mrefu,
Sasa jamaa ndo wakaita polisi.
Wakanibeba mpk centro.
Nlkua huko tokea mchana,
Ndo nmetoka mida hii.
Leo mchana nmeshinda central
Almanusra ningelala korokoroni Leo .
Ha ha ha...Ila poleee utakuwa umeponesha hela yako Leo kuliwa na Mhindi maana sidhani kama Barcelona angekuacha salama
Duh,MARA NYINGINE INAKUBIDI ULAZIMISHE MACHO KUAMINI YAKIONACHOView attachment 678457
Kinoma sana yan Barcelona na Chelsea mafalaHahahaaaa yakisenge kinoma aisee.
Ndo hivo mkuu,Hii nimeipenda umepotezewa mda lakin still umetoa fundisho skunyingine hakufungii bila kutoa maelezo.
Kanji hana masihara kaka...kasepa na tips hatari niliruka mkojo nikaja kukanyaga mavi ya kina ChelshitKabisa mkuu! Matokeo ya NBA acha tu. Halafu mdau anasema direct win kwenye Basketball ndiyo rahisi kutabili. Ndiyo maana nikakaa kimya kwenye huo mjadala, naomba atupe feedback ya zile TIPS zake.
Yaan mm tang jumanne nikuliwa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kinoma sana yan Barcelona na Chelsea mafala
Sorry tangu juma piliKinoma sana yan Barcelona na Chelsea mafala
Usjali,Sorry tangu juma pili
Hii week ya kifala sanaSorry tangu juma pili
Mkuu upo?Usjali,
Ni mapito tu.
Hiyo ela anakutunzia tu, so soon anakurudishia ela ako na faini juu
Football kwa hatua hii sibet tenaSorry tangu juma pili
Sio mchongo aiseeeFootball kwa hatua hii sibet tena
HatariSio mchongo aiseee
Nmepgwa nkabakiwa na scrotum tu [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hatari