Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wataalamu wa 1x bet naomba mwongozo wenu.

Nataka nikatest mitambo huko.

Nmejaribu kudownload app yao kutoka kwny website.

Ila NAONA inagoma installation.

Nkahs labda android yangu haijakidhi, but nkakuta iko poa tu.

Maana minimum ni 4.1 na ya kwangu ni 6.0

Button ya install haibonyezeki.

TATZO LITAKUA NN HAPO NA NAFANYAJE KULITATUA.
 
Leo kuna mechi ya mawater water vs Azam kama ndio hawa kanji awez kufanya mambo kwel mpunga ukaenda maana team za bongo flavor njaa tu.
Hao jamaa wako hoi sn, sidhan hata goli moja watawz kufunga
 
Wakuu kwa wale wakubet in play naomba muwasilishe mizigo humu kwenye account nmebaki na 2000 ili nizalishe taratibu hihihiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…