Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1-15 munutes pesa imesha soma kwenye m pesa kuna jamaa Mr Q amewahi kuweka uthibitisho wa hilo kuna wadau walikua wanasema inazingua kutoa.

kudeposit dakika haiishi imesha soma
ilauwe makini tu kwenye namba ya kampuni na ref number
DeepPond
 
Haibadiliki namba ya kampuni ila ya kumbukumbu ziko mbili ya kulipia mojakwamoja mpesa ni 0081bet na 008 dusupay kwa dusupay
Nimefikia hatua hii lakini kwenye account bado haijasoma nafanyaje hili some maana iyocomplete order sijaiona msaada plz.
 
Unaacha nafasi
Shukran,
Afu Kipi kinapaswa kutangulia?

Kulipa kwanza Pesa kupitia airtl money au kuanzia kwny ile form kwny top payment?

Au hakuna kanuni , nawz anzia kokote mkuu.

Ufafanuz tafadhar
 
Shukran,
Afu Kipi kinapaswa kutangulia?

Kulipa kwanza Pesa kupitia airtl money au kuanzia kwny ile form kwny top payment?

Au hakuna kanuni , nawz anzia kokote mkuu.

Ufafanuz tafadhar
Anzia top up kwenye app
 
SMS ya Mpesa tayar mkuu ndoimetangulia
Coppy iyo transaction id ya mpesa then fungua tena app yako then ulipoishia bonyeza next itakuja sehemu ya kujaza namba, transaction ID, name, na email
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…