Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilishaandika kabla game no ronaldo benzema bale.hapa zidane ni draw anataka waje home second leg
Bado hana akili, unaanzaje kutaka draw wakati recently team yako imekua na matokeo mabaya na wachezaji wameanza kupoteza confidence?Mechi kama hii unaweka full mziki unashinda 5-0 kisha confidence kwa wachezaji anaanza kurudi
 
Mkuu shida inaweza tokea kama atalipia alafu wakati anaenda Ku deposit wakamletea ile njia ya bila dusupay mi ishawai ntokea nilikaa kama sikutatu ndio ikarudi dusupay
Dusupay ndio daraja la sisi kuweza kutoa na kuweka kwenye 1xbet
 
Wale we BASKETBALL

SANTIAGO C WIN
VITORIA WIN
LORRE WIN
LOGASKA WIN

CHAGUA 3 JILIPUEUSIKUMWEMA
 
View attachment 679249

Haki ya nani uyu Zidane atakua ana bet ili hata akitimuliwa aondoke na pesa nzuri, si kwa kikosi hiki alichokipanga maana hakomi


No wonder mpaka saiv hawana shot on target ... duuh !



Sijui niwe nabet competitive leagues? ... maana timu nyingine baadhi ya haya makombe sio kipaumbele so wapoteze ama wasipoteze wanaona sawa tu. Ni km friendly matches.
 
Nop, Mkuu hii inategemeana na makubaliano kati ya mtandao wako na hayo makampuni juu ya kiasi cha kukata. Technically Unapotuma pesa mkataji si mpokeaji wala wewe mtumaji ila ni mtandao wako unakutoza bill maana wao ndio uituma pesa yako toka akaunti yako kwenda kwa mpokeaji (Note : Tax na bill ni vitu viwili tofauti)

Ndio maana kwa airtel ukatwi sababu kauli mbiu yao ni wateja walipe bill bila makato. Utawasikia katika tangazo lao la airtelmoney wanakuimbia (Lipaaaa biiiiill bila makato)
 


OK !
 
Na hii ndio sabab ukiwa na let say mfano sh.5,000 tu ktk tigo pesa yako ukituma yote kwenda premier muamala hautoki maana tigo watakosa cha kukata. So utaambiwa tu hakikisha una salio la kutosha kisha jaribu kutuma tena. Hapa ndipo utafahamu kama ingelikua hii pesa unakatwa na kampuni ya betting basi iyo 5000/ tigo wangeipeleka tu alafu kule wao premier wangekata iko kiasi wao kama kweli wao wangekua ndio wakataji.
 


Sure mkuu ... nimekusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…