Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Hyo body yenyewe imekaa kihuni huni tu.
Mwez wa 11 kuna kijana alishnda 16.5 mil kule m-bet
Mkeka ulkua unasoma 16.5 mil after tax.
Akaitwa HQ akachukue Pesa ake.
Kufika Kyle akaambiwa hatopokea yote.
Watakata 18% kodi,
afu eti kisa gaming body wanasimamia ule mchezo.
kwny ule mkeka eti wakachukua 10%.
NKAWAONA nao WAHUNI TU.
Mbona MTU akibet kwny cm hao gambling board hawakatagi ela.
Mbona MTU akishinda kodi 18% haikatwi Mara 2.
Sina imani nao hao jamaa.
Mimi hata registration ilinigomea aisee ile REGISTERS BURTTON nikibonyeza inazunguka lkn hainiletei majibu yoyote yaleHata mm nimetumia "Mobile Payment" method ... mpk sasa hela haijasoma kwny account. Nimejaribu kuchat nao wananiambia nisubiri saa moja na km bado haijaingia basi niwatumie email ...
View attachment 679366
Amekuwa nyanya kinyamaBoston Celtics ndio ananisikitisha sn ...
Alipwaya third quarter na fourth quarter....cavaliers nae naona vikapu vichache sana.
Hyo body yenyewe imekaa kihuni huni tu.
Mwez wa 11 kuna kijana alishnda 16.5 mil kule m-bet
Mkeka ulkua unasoma 16.5 mil after tax.
Akaitwa HQ akachukue Pesa ake.
Kufika Kyle akaambiwa hatopokea yote.
Watakata 18% kodi,
afu eti kisa gaming body wanasimamia ule mchezo.
kwny ule mkeka eti wakachukua 10%.
NKAWAONA nao WAHUNI TU.
Mbona MTU akibet kwny cm hao gambling board hawakatagi ela.
Mbona MTU akishinda kodi 18% haikatwi Mara 2.
Sina imani nao hao jamaa.
Hawa wapuuzi nilijua watarekebisha makosa ya game iliyopita lkn wapiBoston Celtics ndio ananisikitisha sn ...
bet365 nadhani INA,run service zake world wide mfano na baadhi ya watz wanawatumia ilihali hawajasajiliwa nchini tena hata huduma za kudepost/withdraw wanatumia mfumo wa kibenk. 1xbet ni kampun mama haijaanza Leo ilikuwepo kitambo sema kwa upande wetu tz ndo ilikuwa haijatufikia. kama hawa jamaa wangekuwa hawaaminiki sidhani kama haya makampun ya mawasiliano yangekubali kufanya nao KAZI. jumamosi iliyopita nilikula 450k, kwa stake ya 7000 wala pesa haikuchelewa baada ya withdraw requestHawa jamaa wa 1xbet mm nimejaribu kudiposit elf 3000 ndani ya dakika 2 mzigo umesoma kwenye account na ndio ilikua mara yangu ya kwanza jana
mkuu Cc DeePond itakua kuna sehemu umekosea.
Tatizo linakuja hawa jamaa hawana usajili Tz kama ikitokea umekula mpung mwingi wakizingua huwezi kuwashtak
Then chengine wanaacept hadi mambo ya bitcoin Dogecoin nk. Hawa jamaa tuwe nao makini waseje kutuletea u scam.
Ulitumia email kujisajiri?HAWA jamaa ni wasumbufu sn.
Ikifika kesho hawajarudisha deposit au kurudisha ela yangu.
Itakua ndo kwaheri
bet365 nadhani INA,run service zake world wide mfano na baadhi ya watz wanawatumia ilihali hawajasajiliwa nchini tena hata huduma za kudepost/withdraw wanatumia mfumo wa kibenk. 1xbet ni kampun mama haijaanza Leo ilikuwepo kitambo sema kwa upande wetu tz ndo ilikuwa haijatufikia. kama hawa jamaa wangekuwa hawaaminiki sidhani kama haya makampun ya mawasiliano yangekubali kufanya nao KAZI. jumamosi iliyopita nilikula 450k, kwa stake ya 7000 wala pesa haikuchelewa baada ya withdraw request
Kwel kaka ww umenipa mwanga bhna watu wanatumia bet365 wakat hap hata hutuwajui wala hakuna branch yao nawekeza kuanzia mda huubet365 nadhani INA,run service zake world wide mfano na baadhi ya watz wanawatumia ilihali hawajasajiliwa nchini tena hata huduma za kudepost/withdraw wanatumia mfumo wa kibenk. 1xbet ni kampun mama haijaanza Leo ilikuwepo kitambo sema kwa upande wetu tz ndo ilikuwa haijatufikia. kama hawa jamaa wangekuwa hawaaminiki sidhani kama haya makampun ya mawasiliano yangekubali kufanya nao KAZI. jumamosi iliyopita nilikula 450k, kwa stake ya 7000 wala pesa haikuchelewa baada ya withdraw request
tigo IPO mkuu but sina uzoefu nayo, kama una voda kuna maelezo kurasa za nyuma hapo pekuaMkuu msaada wa kudeposit kwa Tigopesa? Naona kwenye Mobile Payments ipo?
tigo IPO mkuu but sina uzoefu nayo, kama una voda kuna maelezo kurasa za nyuma hapo pekua
Tigo ipo mkuu na ndo ninayotumia mmMkuu msaada wa kudeposit kwa Tigopesa? Naona kwenye Mobile Payments ipo?
Tigo ipo mkuu na ndo ninayotumia mm
Select kile kitufe kidogo cha kijani kitabadirika na kua cheupe chini ya payment system then shuka chini utaiona tigo
Ahsante sana mkuu! Umetisha sana, nimekiona!