Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hama unafanya nini huko.
Eti 1xbet wanaipa timu handicap ya vikapu 13 wakati inazidiwa vikapu vinne tu inplay halafu odds eti ni 2 jana nimempuna vya kutosha
Koncho77 hembu nipe link ya hao jamaa. Hii kampuni ipo bongo?? Siyo ile wadau walikuwa wanasema ni ya russia???
 
Yap,
Nmetengeneza faida kubwa,

Japokua nlikua nacheza stake ndogo ndogo kwa ajili ya kutest mitambo.

Mambo yalienda vzur.
LEO NATAKA NIONGEZE STAKE, NI TENGENEZE FAIDA KUBWA
Mkuu inplay ulideal zaidi na options zipi, na mimi niweke mtaji nimtafute huko kwenye level zako
 
Mkuu hama unafanya nini huko.
Eti 1xbet wanaipa timu handicap ya vikapu 13 wakati inazidiwa vikapu vinne tu inplay halafu odds eti ni 2 jana nimempuna vya kutosha
Naona mkuu koncho, wawekezaji wote saiv story ni 1xbet tu. Sijui nimerogwa wapi na princess ata lepe la mzuka nayo sina ni kama kipindi fulani wale GSB.
 
Ha ha haaaa ila nitakuwa najiongeza tu, kwenye mikeka yako ukiweka kuna goli la mguu mimi natia over.
 
Hapo labda magoli yote yawe ya kujifunga au magoli ya vichwa.

Which is not that simple to happen.

Hapo
linahitajika goli lolote kwny hyo mechi,lifungwe kwa kusukumia tu mguu.

BETTING NYEPESI SANA HII
nilijiunga nao kitambo sana huko but sikuwahi kuplace bet yoyote. ila mmenihamasixa ngoja nitadeposite. tatizo web yao upande wa pc huwa siielewi maandishi madogo mno hadi yanaumiza macho
 
OK funguka hapa hiyo njia ili nasi tujaribu
Hyo option inakuja na kupotea.

Ila ukiibatisha utaiugundua kwa kuona neno

"Minimum: 1500 Tsh" tofauti na hyo ya "Minimum 2,000 Tsh"

Hapa, unaingiza kiasi na no yako ya cm unotegemea kutumia kudeposit pesa.

Ukishamaliza, una minimize kisha unakwnd kwny cm dial.

Busnes no: 400700
Kumkumb no: 0081bet

Kazi kwisha
 
Ok
 
Nmefanya hivyo kwakujaribu 2000 miamala imekubali lakini nikienda kwenye account yangu ya 1xbet sioni pesa yoyote aisee
 
MXIGOO MWINGINE HUO

[1/20, 11:36] ‪+254 703 262495‬: Australia
Match: Newcastle Jets - Wellington
Tip: FT 1
Time: 09:35
Extra tip: 3+[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]

Hong Kong
Match: Guangzhou R & F Yueng Long
Tip: 3+[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Time: 09:30
Extra tip: GG[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
[1/20, 11:58] ‪+254 703 262495‬: Turkey Amateur
Match: Fenerbache Un21 - Gostoepe Un21
Tip: FT 1
Time: 12:00
Extra tip: 3+

rashidy machio:
Turkey Amateur
Match: Eskisehirspor Un21 - Instanbulspor Un21
Tip: FT 1
Time: 12:00
Extra tip: 3+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…