Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Hii inaonesha kuna watu ndiyo ishu zao aseeeh, nishawahi kufuatwa pia
 
wazee tukumbuke kila wekend lazima mkubwa moja achane mkeka kwa ku draw au kupigwa!je leo nani ataharibu sherehe arsenal,man u ,chelesea au man city
 
kuna hii option inaitwa "at least one team will not score total under 2.5 , (yes/no). naombeni ufafanuzi tafadhali
 
Au odds ya 4 plz na shida ya pesa ya Kodi[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa ninayo nusu Bora Ni double half of it
Hilo ni kosa kubwa sana mkuu unataka kulifanya, usije ukalia na kusaga meno.
Bet na kiasi ulicho teyari kukipoteza, sio una beti huku tumbo linaunguruma kwa wasiwasi na hofu ya kupoteza.
 
Hilo ni kosa kubwa sana mkuu unataka kulifanya, usije ukalia na kusaga meno.
Bet na kiasi ulicho teyari kukipoteza, sio una beti huku tumbo linaunguruma kwa wasiwasi na hofu ya kupoteza.
Ni kweli unachosema..ila hii Ni biashara kama biashara nyingine Kuna hasara na faida.to be successful businessman you should learn how to take risk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…