*****.Hawa jamaa wa 1xbet leo wameshindwa kuupdate bet slip yangu. Nilicheza keno hiyo ya mwisho draw yake ilifanyika saa 16:15 mpka sasa bet slip inaonyesha live. [emoji28][emoji28][emoji28]
Tuwe makini na haya makampuni ambayo hayana usajili hapa nchini kwetu incase of anything bad can happen huna pa kuwashtaki. Tusiache kuitumia ila tuwe aware na vitu kma hivyo ambavyo vinaweza kutokea
Hongera mkuu lakini kuwa na akiba ya maneno
Another win .. 10 min X .. 100% uhakika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hongera mkuu lakini kuwa na akiba ya maneno
hahahhha mkuu kwamba warashia wana ingia Jamiiforums!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakuu hawa 1×bet watakuwa wanaingia kwenye huu uzi wetu wa kubet maana wameupdate slip yangu mara tu baada ya kupost humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yah iko vizuri ila itapendeza zaidi ukituma kabla ili wenye kupendezwa waweze fuata
Second win for today.... 100% uhakika sure 10 min X..... best option under the Sun....
Uliwapa kona ngapi?Siku nzima ya leo no loss
Amebaki city Kona 6 zimebakia
15+1Uliwapa kona ngapi?
Mkuu kampuni gani hii unayotumia.. Nimeipenda hii option
Zinaweza kutoka15+1
Au zisitoke maana naona Newcastle anakaba sanaZinaweza kutoka