Hii tabia inanikera sana.Nilianza kwa kuchati now baadae wakanipa email yao ili niwasiliane nao moja kwa moja kuhusu tatizo langu na niwatumia sms ya mwamala ID no ya account nihivyo tu walivihitaji
Narudi princess mkuu maboya mno hao.Hii tabia inanikera sana.
Yaan unatatizo, umekwama
Afu Unawasiliana na MTU wa support service.
Afu nae badala ya kulichukua tatzo lako na kulishughurikia, eti nae anakubwagia link
eti
" chukua link hiyo hapo,wasiliana na technical team watakusaidia"
Yaani uende mwnyw kwa technical team ukaeleze tatizo lako.
Hivi kwani wao,
wanashindwa nn kuforward tatzo lako direct kwa hao technical team wao walishughurikie.
Ukiwaambia mnochofanya sio kitu kizuri.
Utaona tena wamekubwagia link nyingine,
eti
"malalamiko yako peleka sehemu husika ya malalamiko, chukua link hiyo hapo"
Haya, sio mbaya...
Umefata link na umeeleza tatzo lako kwa ufasaha.
Cha ajabu email hazijibiwi, zikibahatika kujibiwa majibu ni Yale Yale kwa kila swali.
Utadhani ni computer generated replies.
MBALI NA KUA NA ODDS ,OPTION NZURI.
ILA CUSTOMER CARE NI ZERO.
Ushauri,
HAWA jamaa hawafai kudeposit kiwango kikubwa au kukaa na ela nyng kwny ac yao.
Siku ela zkipotea, majibu yao yatakua ni kukubwagia links tu ukataabike mwnyw.
Nna ela yangu 15k, nlideposit juz haijafika mpk Leo.
HAWA JAMAA NI KUA MAKINI NAO SANA.
Kweli kabisa, Ndio sabab mzigo wangu wote naupeleka PMbet...uko naogopa siku wakipotea ghafla hewani unaweza jikuta unalia mwenyeweHii tabia inanikera sana.
Yaan unatatizo, umekwama
Afu Unawasiliana na MTU wa support service.
Afu nae badala ya kulichukua tatzo lako na kulishughurikia, eti nae anakubwagia link
eti
" chukua link hiyo hapo,wasiliana na technical team watakusaidia"
Yaani uende mwnyw kwa technical team ukaeleze tatizo lako.
Hivi kwani wao,
wanashindwa nn kuforward tatzo lako direct kwa hao technical team wao walishughurikie.
Ukiwaambia mnochofanya sio kitu kizuri.
Utaona tena wamekubwagia link nyingine,
eti
"malalamiko yako peleka sehemu husika ya malalamiko, chukua link hiyo hapo"
Haya, sio mbaya...
Umefata link na umeeleza tatzo lako kwa ufasaha.
Cha ajabu email hazijibiwi, zikibahatika kujibiwa majibu ni Yale Yale kwa kila swali.
Utadhani ni computer generated replies.
MBALI NA KUA NA ODDS ,OPTION NZURI.
ILA CUSTOMER CARE NI ZERO.
Ushauri,
HAWA jamaa hawafai kudeposit kiwango kikubwa au kukaa na ela nyng kwny ac yao.
Siku ela zkipotea, majibu yao yatakua ni kukubwagia links tu ukataabike mwnyw.
Nna ela yangu 15k, nlideposit juz haijafika mpk Leo.
HAWA JAMAA NI KUA MAKINI NAO SANA.
Kweli kabisa mkuu hovyo sana hawa jamaa kwenye customer careHii tabia inanikera sana.

Yap mkuu ndo hvo n hii kaz n 50%50%Hakuna option ngumu kama hii kwa match ambazo hazieleweki kuna draw ujue!!
why usije princess mbona kumetuliaKweli kabisa, Ndio sabab mzigo wangu wote naupeleka PMbet...uko naogopa siku wakipotea ghafla hewani unaweza jikuta unalia mwenyewe
Mwanangu unaongea kizanaki??[emoji23] [emoji23] [emoji23]and to top it of all tezirina sirimu oba nziku..
Jana uliDeposite kwa Njia ipi? Maelezo TafadhaliJana deposit 1xbet kwa mpesa ilikuwa safi ila leo nimedeposit lakin hata hao voda hawajarudisha msg na hela ishakatwa
Mkeka ukwapi tufate?Wale wa 10 min X uhakika 100%
Huyu Yanga leo huyu... Ha ha haaaaa.
Pesa hiyo hapo
Mpesa ilikuwa faster kinoma sekunde 10 hela inasomaJana uliDeposite kwa Njia ipi? Maelezo Tafadhali