Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1Xbet nimewapenda mnoooo....vipi ku withdraw hawana tatizo?Naona jana niliwajaribu kwa Odds mbili mbili mikeka mitatu yote niliwapiga. Ki ukwel wana option za pesa

Hawana shida, mimi constantly nimekuwa natoa na kudeposite frequently bila shida yoyote.

Ila kwasababu ni kampuni haijasajiliwa bongo, usiache na mshiko mrefu
 
Pole sn Chief ... hauko peke yako.

Kwenye account 1xbet ilibaki 5,000/= nilitaka niongeze lkn imeshindikana, itabidi nipambane na nilichonacho. Leo ndo ukiskia kutafuta laki 5 kwa buku ... hahahah
asee odds 4 for today zinanitosha kabisa.. ugonjwa wangu wa games nyingi nachanganyikiwa haujaisha.
 
Mkuu namba ya Mlipa please
 
Burnley FC v Manchester City
Total corners 8,5 - Over1.32

Manchester United v Huddersfield Town
Total corners 8,5 - Over1.32

Yesilgiresun Belediye v Besiktas JK
Under Over 154.5 (IOT) - Over1.43

Odds 2.49
 
Jamani nimefatilia hii option huko 1xbet ,1minute events
Mfano throw in 2.00-2.59
Ukaweka NO
naona kama uwezekano ni mkubwa sana wa kushinda
Odds zao 1.7,1.83 nk.
Nimeweka timu 12 imeleta odds 591
Maoni yenu wakuu , kuna aliewahi jaribu hii option,
Kesho ntawapa mrejesho waa jaribio langu


 
Msaada jinsi ya kudeposit 1Xbet kwa tigopesa
Ukiclick hiyo option! Unajaza namba ya simu ikianza na Mfano: 255 714 1...........! Then Minimum amount, baada ya hapo unakamilisha process. Then unaenda kwenye menu ya Kawaida ya Tigopesa unaclick namba 4, then kumbukumbu namba 400700 then unaandika 0081bet then kiasi ulichoingiza mwanzoni! Unamalizia na password, muamala unakuwa umesoma!

Natumaini utakuwa umenisoma, siyo expert sana wa 1xbet ndiyo nimeingia leo! Quoted
 
Leo nimedoposite hivo Voda hawajanirudishia SMS ila pesa imekatwa, kweny acc pesa haijafka
Kuna mtu ka deposit kwa mpesa Leo?
 
ni rahisi na ningumu pia. maana throwin huwa zinakuwa nyingi hapana mfano labda uende na bahat mkuu
 
Hii option ni nzuri me nshaifanya ndani ya dakika moja unapiga mtonyo ila usiweke team nyingi weka team mbili hadi nne mfano no throw in ina odds hadi 2.1 au no free kick ina 1.3 ndani ya 00.00 - 00.59 seconds mpira unapoanza kwa team zinazocheza mpira kama Barcelona au man city hii option inalipa
 
Hilo n kweli mkuu,

Hizi ligi zenye timu maskini n shinda sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…