Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nafanya vipi kuicheza yenyewe na si salio langu
Nenda kwenye akaunti yako utaona neno main akaunti. Bonyeza hapo utaona neno bonus akaunti bonyeza. Then rud anza kubet hela itakayokua inatumika ni ya bonus tuu
 
Betting ni mchezo wa ajabu sana, Sevilla anachezea kichapo balaa.
 
Nenda kwenye akaunti yako utaona neno main akaunti. Bonyeza hapo utaona neno bonus akaunti bonyeza. Then rud anza kubet hela itakayokua inatumika ni ya bonus tuu
Unaweza screenshot iko kijisehemu?maana naona hapa account setting
 
Simu kuscreenshot inazngua. Nenda kwenye akaunti yako. Then setting. Utaona kwenye user akaunti ya kwanza kabisa wameandika main akaunti. Ibonyeze afu select bonus akaunt. Unatumia pc au app ya simu?
 
PC

Dusupay wameondoka na ela yang tokea tar 19 Jan 2018 mpk Leo haijaingia.

Niliwashit, tumia push message.

Iko simple n fast
Push Message, Hawajanifikishia hela yangu kutoka saa tatu asubuhi hii.[emoji134] niliWITHDRAW[emoji134] [emoji24]
 
Palipoandikwa pesa hakuna option nyingine zaid ya ku refresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…