kama web inakusumbua Pakua App ya PC ambayo ipo pale kwa juu kushoto1X bet ktk PC kuna time betslip inapotea, naitafuta yani hata sijui ilipo, hii kampuni iko poa sana ila muonekano wa website ni shida, kuona sehemu za ku scroll page down ni ishu
hua wananiacha hoi ukiwa una bet inplay kwenye basketball odds hazitulii kabisa mara imeahamia huku mara imepotea vurugu mechi yaani wanaogopa kuliwa haoNgoma ikivuma sana mwishowe hupasuka, naona @princessbet wamekuwa garasa rasmi na wanakaribia kufanana tu na m bet,yaani wamepunguza option nyingi balaa.
Pakua opera min itakusaidia kuinstal hiyo appkama web inakusumbua Pakua App ya PC ambayo ipo pale kwa juu kushoto
Princess wahuni. Weka mbali na maisha yako watakupunguzia furahahua wananiacha hoi ukiwa una bet inplay kwenye basketball odds hazitulii kabisa mara imeahamia huku mara imepotea vurugu mechi yaani wanaogopa kuliwa hao
Lete mkekaWenzangu wa Ix Bet kuna hii option ya Substitute Player to Score unaweka NO inakuwaga na odds kuanzia 1.25-1.40
Jana nimecheza k wa game 10 ikatoa odds 13.65 kwa stake ya 10,000 nikala 136,500/=
Na leo nimecheza game 10 tyr game mbili zilizoanza zimekubali na nimeweka 20k ikitiki napata 247,000/=
Ila ni kwa zile ligi kubwa kama laliga..bundesliga,EPL,liegue 1 na Serie A
Hii hapa mkuuHii option inapatikanaje mkuu ... nimejaribu kupekua kwny game ya Liverpool/Totenham ila sijaiona
Km usmtashare screenshot itapendeza zaidi
kampuni gani?Wenzangu wa Ix Bet kuna hii option ya Substitute Player to Score unaweka NO inakuwaga na odds kuanzia 1.25-1.40
Jana nimecheza k wa game 10 ikatoa odds 13.65 kwa stake ya 10,000 nikala 136,500/=
Na leo nimecheza game 10 tyr game mbili zilizoanza zimekubali na nimeweka 20k ikitiki napata 247,000/=
Ila ni kwa zile ligi kubwa kama laliga..bundesliga,EPL,liegue 1 na Serie A
mkuu umeiona ktk kampuni gani?Nimeiona Chief ... Cc Kongolo
Mkuu uwe unanitag pls
Naichezaga sana ila usiombee timu ndogo ikutane na kubwa kuna siku Dortnund.Marseil waliniharibiaLete mkeka