Hapana niliongea nao kwenye simu wanasema kuna tatizo la kimtandao linashughulikia litakaa poaa na option zitarejeaa kama kawa..Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka, naona @princessbet wamekuwa garasa rasmi na wanakaribia kufanana tu na m bet,yaani wamepunguza option nyingi balaa.
Hahah[emoji23] noma sanaa ila hiyo huwa kwa sbb ya mwenendo wa mechii nd mana zinakuwa odds zinabadilika ni kawaida ya live games ndo zilivohua wananiacha hoi ukiwa una bet inplay kwenye basketball odds hazitulii kabisa mara imeahamia huku mara imepotea vurugu mechi yaani wanaogopa kuliwa hao
Nlikufuata hii mkuu
Nlilala hii ikanipita
Yeah! Ni kweli. Hata mm nimejaribu kusearch kwa simu imeshndikana.Mm natumia simu (1xbet app), inakuwa rahisi zaidi kuziona. Kwa laptop, naona ni shida kdg kusearch hizo options ...
No. Kwenye simu yangu ya samsung 1 inagoma.Yes ... utaenjoy kubet 1xbet kupitia simu.
No. Kwenye simu yangu ya samsung 1 inagoma.
Haifunguki kunipa options za kubet. Napata tu main page lakini haifunguki zaidi ya hapo. Nadhani cm yangu ina uwezo mdogo. Bora niwe natumia computer.Inagomaje mkuu? ... mm natumia Android phone na imekubali. Huwa napendelea kubet 1xbet kwa kutumia simu kuliko Computer.
Nlikufuata hii mkuu
Ahsante sana
Kuna app ya computer pia. Nayo iko simple kama ya simu tuHaifunguki kunipa options za kubet. Napata tu main page lakini haifunguki zaidi ya hapo. Nadhani cm yangu ina uwezo mdogo. Bora niwe natumia computer.
Kabsa mkuuu shda yao n Ku withdrawHawa jamaa wana options tamu sn ... yani uwezekano wa kula ni mkubwa zaidi.
Kabsa mkuuu shda yao n Ku withdraw
N stress me mpaka now cjadanikiwa
Cjui wanataka ujaze really I'd
Ama nn