ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
natumia pc kwa version ya simu sehemu ya charting siioni.Jaribu kuchati nao live aiseee
dah umenifurahisha mbaya kwamba wanaweza kuwafikia..?? tumetoka huko maana yake tunapokwenda ni bora zaiidi.Hivi hao jamaaa wanaweza wafikia princessbet
Kama ipo moja tuu jua hauna bonus. Bonus zinapatikana ukideposit ijumaa unapewa mara mbili ya hele ulodeposit na itumike ndani ya masaa 24.Nikishafika hapo kwny My Account (main account) nafanyaje? ... maana niki-tap hapo kwny Main Account inakuja option ya ku-add account.
Iko transit usihofuwakuu nisaidieni nifanyaje nimewithdraw pesa 1xbet kwa mpessa toka saa12asubuhi hadi ssa pesa aijafika.mawasiliano yao please
Kama ipo moja tuu jua hauna bonus. Bonus zinapatikana ukideposit ijumaa unapewa mara mbili ya hele ulodeposit na itumike ndani ya masaa 24.
hii secta inawafaa mess & ronaldo. ila huwezi amini hamnaga option lahisi. kuna option ya headed goal n0/yes, na INA odds kuanzia 1.5. nimeijaribu Mara nyingi sana lakini matokeo yake nachaniwa na Tim moja kila mkeka, MF. Jana Barcelona. ukiwa na mtaji ukawekeza 500k kwa mechi 5 kila mechi 100k hata akichana mmoja au wawili bado faida itakuwepo nzuri tu. ila sasa kinachotuumiza ni tamaa na kuwa na mitaji hafifuMchezaji afunge goli mbili ... ni kama tunavyosema "Hat trick" mchezaji akifunga goli 3.
nimeona ukiomba msaada hapa mara kadhaa je umejaribu kuchat nao?wakuu nisaidieni nifanyaje nimewithdraw pesa 1xbet kwa mpessa toka saa12asubuhi hadi ssa pesa aijafika.mawasiliano yao please
hii secta inawafaa mess & ronaldo. ila huwezi amini hamnaga option lahisi. kuna option ya headed goal n0/yes, na INA odds kuanzia 1.5. nimeijaribu Mara nyingi sana lakini matokeo yake nachaniwa na Tim moja kila mkeka, MF. Jana Barcelona. ukiwa na mtaji ukawekeza 500k kwa mechi 5 kila mechi 100k hata akichana mmoja au wawili bado faida itakuwepo nzuri tu. ila sasa kinachotuumiza ni tamaa na kuwa na mitaji hafifu
Mbn mashart makali hvo1xbet kuwithdraw ni rahisi saana. Sema ukiwa na bonus walokupa huwezi toa hadi uliwe bonus yote au uwin kama wanavyotaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuh, mi nlifikiri utauliza km Princessbet wataweza kuwafikia 1xbet.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Princess bado mtoto ambaye anatambaa bdo hajaanza kusimama [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
M nilitumiaa quick registration baadae nikaupdate information.nimeona ukiomba msaada hapa mara kadhaa je umejaribu kuchat nao?
kwa sabab kwa uoande wangu huwa haizidi dakika 15
lakini pia wakati wa kujisajili kama ulitumia quick registration nasiki huwa inazingua kuwiyhdraw
mkuu jatibu tena kupitia hizo info huwenda ijawa sababu kuuM nilitumiaa quick registration baadae nikaupdate information.
Eti jamaa anaisifia princess [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]