Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Princessbet wako vizuri cz zile option zote muhimu zipo..
Istoshii sijaona kampuni yenye kutoa huduma boraa kama hawa wanaa wapo vzr sanaaa aysee wamejipangaa..[emoji106]
 
Mimi nime register namba ya tigo kweny A/C lakin kweny kudeposit na tumia either tigo ama Voda njia rahisi ni iyo ya Push message ambapo una weka kias na namba unayo lipia huo muamala kwa maana hyo kama ume chagua namba ya voda/tigo Push sms ita ingia kweny namba husika na ww uta kamilisha muamala Simple tuu
 
Nimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
Waongo...M-Lipa ndio wenye matatizo...walishanisumbua sana...ìla baadae pesa ilifika 1xbet....baada ya kuwakomalia sana M Lipa
 
[2/5, 14:20] ‪+234 806 164 8547‬: #TEAM_BELIEVE

6HRMMHT

2 odd

Code 5491 Date 05/02/2018 19:45
Event CFR Cluj - CS Concordia Chiajna
Live/Prematch Normale Selection 1

Code 1620 Date 05/02/2018 20:45
Event Lazio - Genoa
Live/Prematch Normale Selection 1

Code 5948 Date 05/02/2018 18:00
Event Trabzonspor - Goztepespor
Live/Prematch Normale Selection 1 or Ov

Code 6947 Date 05/02/2018 19:00
Event Maccabi Petah Tikva - Hapoel Ashkelon
Live/Prematch Normale Selection 1X

#TEAM_BELIEVE
[2/5, 14:23] ‪+234 806 164 8547‬: WE PRAY FOR A GREEN DAY AND GOD BLESS YOU ALL ✅✅✅✅✅ ✅ ✅ ✅ ✅ ✅ ✅ ✅
 
Mkuu hapana sina bonus .. niliweka tuu pesa leo karibia siku ya nne haijaingia kwenye account
Mimi nimedeposit leo nikapewa bonus ya kucheza magem inaitwa 1xgames bonus. Na nahisi japo sina uhakika na hili ukideposit afu utoe bila kubet nadhan haitoki. Sina uhakika lakini na hili
 
Wakuu kuna aliuefanikiwa kurejeshewa miamala au Fedha kuingia 1xbet kwa ile siku kulikuwa na matatizo ya kimtandao Vodacom?
 
wkuu nielekezeni kuapload file humu jukwaani kwa PC.maana mi huwa naishia
kwnye drop file here then baada ya hpo sending button sioni .msaada pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…