Cc buddyhiy
hiyo push message maana yake ni nini?
Kwenye kujisajili ww ukijaza realyKuwithdraw 1xbet ni faster tu kwangu haijawah sumbua wala chelewa
Au watu wanakosea jinsi ya kujisajili nn?Leo tu asubh saa 2 nime withdraw zaidi ya 100k tena fasta ikaingia bila shida
Inaonekana unabonus ww na haiwez toka mpaka utimize masharti ya bonus
Hii ni kitu gani mzee.. Nmekielewa sanaatwendeni na option ya mwisho hyo kabisa kwa odds 3.4 tumjaribu hapo leo
Goal ranges 1-6
card ranges 1-6
corner ranges 7-15
katika kila mechi
Hii ni message ambayo utumwa katika namba yako ya simu uliyoiandika kua unatumiaku deposit muda ule ume click deposit, message hii ukuruhusu wewe kufanya taratibu za malipo kwa mtandao unaoutumia eg. Voda, Tigo nkhiy
hiyo push message maana yake ni nini?
Inaonekana lazma ujaze really nameAu watu wanakosea jinsi ya kujisajili nn?
mkuu moyes ni case ukaweka hela alafu zisifike kwenye akount ya 1xbet unatumia njia gani kuwasiliana na hao beyonic??Mimi nime register namba ya tigo kweny A/C lakin kweny kudeposit na tumia either tigo ama Voda njia rahisi ni iyo ya Push message ambapo una weka kias na namba unayo lipia huo muamala kwa maana hyo kama ume chagua namba ya voda/tigo Push sms ita ingia kweny namba husika na ww uta kamilisha muamala Simple tuu
Itakuwa ndio ivyo maana mi nikitoa pesa hapohapo inaingia maana niliweka jina la kweli.Inaonekana lazma ujaze really name
Yenye iko kwa kitambulisho
ulichosajilia lain
mkuu kuna mawasiliano yyte na hao beyonic in case mtu akikwama sehemu? let say hela hazijafika kwenye acccount ya 1xbetHii ni message ambayo utumwa katika namba yako ya simu uliyoiandika kua unatumiaku deposit muda ule ume click deposit, message hii ukuruhusu wewe kufanya taratibu za malipo kwa mtandao unaoutumia eg. Voda, Tigo nk
Message hii uandikwa procedure za malipo ya bill za kampuni simu unayotumia pia vitu hivi muhimu
1. Namba ya kampuni ya 1xbet ambayo ni 400700
2. Kumbukumbu namba ambayo ni 0081bet
Ukisha click kule ktk ku deposit usifanye malipo yoyote kabla ujapokea hii msg ktk namba uliyoiandika kua unaenda kutumia ku deposit
Hili silifahamu maana sijawahi kukwama, ila mwanzo nilikua najaribu ku deposit kwa airtel sikufanikiwa, nikaamua kutumia tigo ambapo kwa tigo nime deposit mara mbili bila kukwama na pesa ziliingia within 1min.mkuu kuna mawasiliano yyte na hao beyonic in case mtu akikwama sehemu? let say hela hazijafika kwenye acccount ya 1xbet
Unaweza ukanipa iyo no na mm niongee nao maana tangu jmos network ilivyokua ovyo voda sijapataNimewapata MLIPA leo wamepokea nikaongea nao kuhusu hela ambayo haijafika 1xbet, jamaa ananiambia hao 1xbet wasumbufu sana usideposit tena hela huko. Hela yangu wamesema wanairudisha kwe mpesa
Hili silifahamu maana sijawahi kukwama, ila mwanzo nilikua najaribu ku deposit kwa airtel sikufanikiwa, nikaamua kutumia tigo ambapo kwa tigo nime deposit mara mbili bila kukwama na pesa ziliingia within 1min.mkuu kuna mawasiliano yyte na hao beyonic in case mtu akikwama sehemu? let say hela hazijafika kwenye acccount ya 1xbet