Danny Massawe
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,299
- 765
1Xbet wako poa katika ku withdraw pia....nimejaribu muda huu kutoa pesa imeingia, ukweli ni kwamba hakuna sheria zozote za kuhusu bonus katika ku withdraw, mimi line niliyoirejista 1xbet ni airtel lakini nimewithdraw pesa iingie line yangu ya tigo na imeingia. Vile vile salio la bonus bado lipo.
Baada ya kujiridhisha kua naweza kuweka na kutoa bila tatzo acha sasa niongeze mashambulizi kwa Kanji....Kwaheri Premierbet
Karibu Mkuu1Xbet wako poa katika ku withdraw pia....nimejaribu muda huu kutoa pesa imeingia, ukweli ni kwamba hakuna sheria zozote za kuhusu bonus katika ku withdraw, mimi line niliyoirejista 1xbet ni airtel lakini nimewithdraw pesa iingie line yangu ya tigo na imeingia. Vile vile salio la bonus bado lipo.
Baada ya kujiridhisha kua naweza kuweka na kutoa bila tatzo acha sasa niongeze mashambulizi kwa Kanji....Kwaheri Premierbet
Nmekufuata hapa
Kuna app ya computer pia. Nayo iko simple kama ya simu tu
Wakuu naomba anayefahamu promo code ya hawa jamaa 1xbet anitajie maana nataka kujisajili nao leo.Kuna app ya computer pia. Nayo iko simple kama ya simu tu
Hicho kipengele kiruke tuuuWakuu naomba anayefahamu promo code ya hawa jamaa 1xbet anitajie maana nataka kujisajili nao leo.
Ila sasa naona wadau mnasema eti ni wasumbufu sana wakati wa kuwithdraw. Hili likoje? Aliyewahi kuwithdraw hela atuambie yeye alifanyaje. Isije ikawa ni matapeli wakatembea na mitaji yetu.
huo udwanzi kuepukana nao niliwawekea namba za kitambukisho cha mpiga kura siku wakizifanyia umafia sasa itakua balaa. BAADA YA HAPO SIJAWAHI KUKUTANA NA SHIDA YOYOTE KWENYE KUWEKA AMA KUTOA PESAWananletea udwanz
Kama huu
Bhas ngoja nifanye hvo na mmhuo udwanzi kuepukana nao niliwawekea namba za kitambukisho cha mpiga kura siku wakizifanyia umafia sasa itakua balaa. BAADA YA HAPO SIJAWAHI KUKUTANA NA SHIDA YOYOTE KWENYE KUWEKA AMA KUTOA PESA
Pamoja sana mkuu. Nimeona nijiunge na hawa jamaa baada ya kushawishiwa na options zao nyingi. Je, kuhusu kuwithdraw wanachukua muda gani kuweka pesa kwenye akaunti yako? Na ukumbuke hawa watu hawana ofisi Tanzania, sasa inakuwaje wakisepa na mitaji yetu?huo udwanzi kuepukana nao niliwawekea namba za kitambukisho cha mpiga kura siku wakizifanyia umafia sasa itakua balaa. BAADA YA HAPO SIJAWAHI KUKUTANA NA SHIDA YOYOTE KWENYE KUWEKA AMA KUTOA PESA
Mbona mimi sijajaza hayo madude mnayosumbuka nayo na still naweka na kutoa pesa bila tatizo huko 1xbet?Bhas ngoja nifanye hvo na mm
Naweka ya passport