kutoa ni ndani ya dk 15 kuweka hazizidi sekunde tanoPamoja sana mkuu. Nimeona nijiunge na hawa jamaa baada ya kushawishiwa na options zao nyingi. Je, kuhusu kuwithdraw wanachukua muda gani kuweka pesa kwenye akaunti yako? Na ukumbuke hawa watu hawana ofisi Tanzania, sasa inakuwaje wakisepa na mitaji yetu?
Mimi nimewajaribu jioni hii, ilichukua kama dk 3 tu pesa kuingia tigo pesaPamoja sana mkuu. Nimeona nijiunge na hawa jamaa baada ya kushawishiwa na options zao nyingi. Je, kuhusu kuwithdraw wanachukua muda gani kuweka pesa kwenye akaunti yako? Na ukumbuke hawa watu hawana ofisi Tanzania, sasa inakuwaje wakisepa na mitaji yetu?
Ila ww c ulijaza realy name amabaloMbona mimi sijajaza hayo madude mnayosumbuka nayo na still naweka na kutoa pesa bila tatizo huko 1xbet?
YeahIla ww c ulijaza realy name amabalo
lipo kwenye lain yako uliyojiunga nayo
Bhas ndo maana hawakusumbuiYeah
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Nina muda kiasi katika betting, na kutokana na uzoefu nimekuja ku conclude kuwa betting ime embrace vitu3.First of all betting ni HESABU, kisha betting ni SCIENCE na mwisho betting ni BAHATI.Ukifanyia kazi haya believe me, out of 10 bets you make una uhakika wa kupiga pesa bets 7-8.
so conclution ni nn kwa utafit wako?Nina muda kiasi katika betting, na kutokana na uzoefu nimekuja ku conclude kuwa betting ime embrace vitu3.First of all betting ni HESABU, kisha betting ni SCIENCE na mwisho betting ni BAHATI.Ukifanyia kazi haya believe me, out of 10 bets you make una uhakika wa kupiga pesa bets 7-8.
Tuache tamaa, mtu anaweka 500/-akitegemea ku win a million.Mkeka una mechi kumi na zaidi, out of 100 peoples waliobet ni mmoja au wawili tu wataobahatika. Bro Faokipe weka dau kubwa bet mechi chache za uhakika!.Changanya na basketball na tennis.Wadau wameng'ang'ania football pekee, hapo lazima upigwe tuuuu!.Zijue timu unazokwenda kufanyia bet.Kama una smartphone na kila siku Patel au Kanjibhai anakupiga chambilecho"jitathmin' una problem.so conclution ni nn kwa utafit wako?
ok.umesomeka tutazingatia ushauri wakoTuache tamaa, mtu anaweka 500/-akitegemea ku win a million.Mkeka una mechi kumi na zaidi, out of 100 peoples waliobet ni mmoja au wawili tu wataobahatika. Bro Faokipe weka dau kubwa bet mechi chache za uhakika!.Changanya na basketball na tennis.Wadau wameng'ang'ania football pekee, hapo lazima upigwe tuuuu!.Zijue timu unazokwenda kufanyia bet.Kama una smartphone na kila siku Patel au Kanjibhai anakupiga chambilecho"jitathmin' una problem.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah! Nimecheka mno alafu anza kutuletea za tennis basi si wageni.Tuache tamaa, mtu anaweka 500/-akitegemea ku win a million.Mkeka una mechi kumi na zaidi, out of 100 peoples waliobet ni mmoja au wawili tu wataobahatika. Bro Faokipe weka dau kubwa bet mechi chache za uhakika!.Changanya na basketball na tennis.Wadau wameng'ang'ania football pekee, hapo lazima upigwe tuuuu!.Zijue timu unazokwenda kufanyia bet.Kama una smartphone na kila siku Patel au Kanjibhai anakupiga chambilecho"jitathmin' una problem.
Mwenye link ya 1×bet anasaidie
HahahaKunasiku nikaomba wanipigie siwakapiga bhana yaani wanapga lugha ya hatari mimi nkawa nawajib You know youuuuuuu know zikawa nyingi sana, nilivyo ona wanazidi nikawakatia sim [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]