Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna M-Lipa na E-Lipa....!!!
M-Lipa ndio wenye matatizo...
 
Week hii imekua ya furaha kwangu nilicheza jackpot na soka bet ya mechi kumi.na tatu nikapata mechi kumi.na
Moja nikawa nmeweka.kibindoni 1000000
 
Paderborn vs Bayern Munich game kali sana. Hawa vijana naona wamekamia kweli ipo live SS7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…