Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Besiktas 2+ imewashinda duuh ... kazi nzr ilofanywa na Marseille & Bayern haina maana tena ...

Sijui tubet vp aiseeee ...
Pole sana chief mi bayern nimemwagia pesa yote nikijua kipindi cha pili atatusua kona za kutosha maan cha kwanxa wametisha matokeo yake wameishia kukata viuno tu kwa uwanja daaa
 
Uoga wangu ndio umasikini wangu Bayern walipo fika goal 4 nikataka kuweka over 5.5 roho ikasita, tuje kwa Marseile walipo fika goal 4 nikataka niweke over 6.5 mi msenge kweli.
 
Sochaux-Montbeliard - Paris Saint-Germain
Fouls Sending Off
1.25

19334. England. FA Cup
Swansea City - Notts County
Fouls Penalty Awarded
1.2
 
Uoga wangu ndio umasikini wangu Bayern walipo fika goal 4 nikataka kuweka over 5.5 roho ikasita, tuje kwa Marseile walipo fika goal 4 nikataka niweke over 6.5 mi ****** kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo kwa bayan hata mm
Nmekua mjinga kama ww
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo kwa bayan hata mm
Nmekua mjinga kama ww
Alafu sasa ukistake unashangaa gori aziingii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…