Nmeamini mzeir!! Afu ni wezi wasio na akili kashindwa kuset odd tuu angeniingiza mkenge[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umeamini?
Upo mkuuWakuu,
Leo kuna hii mechi ya
" Chelsea vs west brom"
Takwimu znaonyesha,
Kwamba,
1. WEST BROM HAJAMFUNGA CHELSEA Ktk MECHI 16 MFURURIZO
west brom hajashinda mechi yoyote ktk mechi 16 mfururizo alzokutana na Chelsea wanapocheza pale Stanford bridge.
2. CHELSEA HAJAWAHI FUNGWA MECHI ANAPOCHEZA SIKU YA J.TATU STANFORD BRIDGE
Chelsea haijawahi kupoteza mechi yoyote Stanford bridge inapocheza Siku ya Jumatatu against timu iliyomkiani mwa msimamo.
Mara ya mwisho kupoteza ilkua ni mwaka 1992 ikicheza na Nottingham forest
Pamoja na mwaka 1993 ikicheza na Oldham.
3. CHELSEA HAJAWAHI FUNGWA MARA 2 MFURURIZO NYUMBANI
Ktk historia ya football, Chelsea haijawahi kupoteza mechi 2 mfururizo ikicheza nyumbani Stanford bridge.
Imewahi tokea Mara mbili tu, mwaka 2011 ilipopoteza dhidi ya arsenal na kisha Liverpool.
HUWA wanafanya kuedit tips baada ya MECHI ili ionekane bet won.Nmeamini mzeir!! Afu ni wezi wasio na akili kashindwa kuset odd tuu angeniingiza mkenge[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hajui kuzidisha mbwa huyu atawezaje kupata correct fixed scores!
Leo kwenye result ange change odds at least ningesema zilishuka ,sasa total odds hazi fanani
Dah,Upo mkuu
Dah! Mhindi katupiga balaaa hapa tulipo tumeamua kutulia kwanza tujipange.Dah,
Nmewamiss sana wapambanaji wenzangu
Pole sana.Dah! Mhindi katupiga balaaa hapa tulipo tumeamua kutulia kwanza tujipange.
Deeppond anakismat kweli tunakuomba urudi rasmi mkuuNaww kama mm tu mkuu
Tumekumiss pia mkuu toka uhamie 1×bet mkeka wa 1,2 na 3,hatuipati tenaDah,
Nipo mkuu
Naona mnaendeleza mapambano
Nliwamiss sana wapambanaji wenzangu
Usihofu,Tumekumiss pia mkuu toka uhamie 1×bet mkeka wa 1,2 na 3,hatuipati tena
Daah hiyo option kiboko... Me nimjilipuaa nimempa Betis...Wakuu,
Pia kuna hii game kule Laliga ya
Deportivo vs Betis
Takwimu znaonyesha kua
1. Betis ndio timu pekee inayoongoza timu zote ndani ligi kuu laliga kwa kufunga magoli mengi ya vichwa.
Mpaka sasa wamefunga magoli 11 ya vichwa tokea msimu huu uanze.
2. Deportivo ni timu ya 3 kwny ligi kuu laliga kwa kufunga magoli mengi ya vichwa.
Mpaka sasa deportivo wamefunga magoli 8 ya vichwa kati ya magoli yote 24 waliyokwisha funga msimu huu.
3. Deportivo pamoja na Betis ni mojawapo ya timu zinazoongoza kwa kufungwa magoli mengi ya vichwa.
Mpaka sasa hizi timu zote mbili zimeruhusu nyavu zao kufungwa magoli 9 ya vichwa.
My take
Hii mechi inauwezekano mkubwa wa kutokea goli LA kichwa.
Ushauri.
Unaweza kubet
"Headed goal-YES"
Possible,Daah hiyo option kiboko... Me nimjilipuaa nimempa Betis...