Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu wale wa 1xbet, mliregistrat
Kwa step zpi maana nafanya
Registration na number nyingine hapa wanazngua

Nmejaza kila ktu sasa hapa
Kwenye code hawatumi ndo
Kwenye ttz

Angalia, Code zinatumwa kwny no ulosajili
 
mkuu statistics kama hii unaipata website au app gani shea please
 
mkuu statistics kama hii unaipata website au app gani shea please
Sofa score.

Hii ni app ya livescore,
Ila sio kwamba utaikuta statistics direct km ilivyo.

Hii app INA hifadhi matokeo yote ya kila mechi na mpk jinsi kila goli LA kwny kila mechi lilivofungwa.

Kwahyo,
unapitia mechi baada ya MECHI na kukusanya data.
 
shukran
 
Ku withdraw kwa Airtel money imechukua 5mins,ila Tigopesa since juzi leo ndio wananitumia withdrawal rejected (imerudi) ila naona kwenye tigo pesa imeingia pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…