mkuu mambo vp....Angalia, Code zinatumwa kwny no ulosajili
nimeweka leo mzee ngoja tuoneWadau vp parfect 12 ya m- bet wameshanila sana
10.5,zifike kona 11 na kuendelea kama ni over,under ziwe chini ya hapo yaan 10mkuu mambo vp....
leo naanza rasmi kubet kona naomba msaada kidogo
pale wanapose......
total corners 10.5....9.5....11.5 au 12.5 huwa kuanzia kona ngapi kwa kila option hapo
tafadhari
thanks bro10.5,zifike kona 11 na kuendelea kama ni over,under ziwe chini ya hapo yaan 10
9.5,over zaid ya 10,under chini ya kona 9
8.5 ,over zaid ya kona 9,under chini ya 8
Odd 1.4 si 1.8Xbet na hizo free code zap ni utumwa yaani zisizidi 1.80 walk zisipungue na time ziwe tatu toka nimeanza najaribu odd zinagoma kufika 1.80 kamili
thanks bro
SijaelewaOdd 1.4 si 1.8
Mzee wa GG unatisha sana Chief...
Poleempwaa nilikuwanakata mbuga LA kisumu nimechungulia darP.diddy kitoto cha bibi em wacheki Barcelona kwenye ungo unambie kama wanaweza funga goal mbili
Kama ulifuata hesabu pesa mfukoniAl ahly win
Paok win
Galatasary win
Odds 2.04
Aksante mpwa Jana odd za Barcelona zilikuwa zinapanda tu nikajikuta naogopa kuweka mzigo!!!! From 1.24 to 3.49Poleempwaa nilikuwanakata mbuga LA kisumu nimechungulia dar
Chelsea anashinda ila sijabet ..2-0 ama 3-0Game ya chelsea leo leo ni ngumu kweli kupredict sio kwa normal win wala goals. Kila timu itacheza kwa defence ya hatari saana. Nashauri kama kwa kubeti tutumie kona. Naiona kama itatoa under 2.5 goals na hakuna gg.