Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betis[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Man city leo jamani... Juve vs tote zitoe over 1.5 nipatee ya supu..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji120]
 
Unakuwa vipi utaratibu mkuu? msaada hapo
Kwa mpesa ukishaingia sehemu ya kudeposit watakwambia uingize no ya simu utayotumia kutransact pamoja na kiasi (minimum 1500)
Utaingiza no ya simu kwa kuanza na+255 baada ya hapo utapokea msg itakayokupa no ya kampuni ambayo ni 261144 na ref. no.
Utafanya muamala kwa kiasi kile kile ulichojaza kule, then unarudi kucomfirm, baada ya sekunde kadhaa kitu kitasoma kwenye akaunti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…