Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mr. wise unamikeka mizuri saaana. Big up.
Mkuu ujue niliamua kuachana na direct WIN baada ya team kubwa kama Barcelona kuninyima ela ndefu juzi tena akiwa home kwao eti akatoka 0-0 na Getafe. So nitashare humu direct WIN games ila kuicheza kwangu ni mwiko
 
Safi saaana aisee hua naiga saana tips zako kula uhakika mno. Big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…