Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu,

Sjui hii tahadhali mliiona!
 
Ha ha ha...
Wee jamaa nkiona avatar yako najikuta tu nmeshacheka

Hata kabla ya kusoma ulichoandika
Mi huwa nacheka sana aiseee nikiiona ataendelea kupgwa na kanji kwasababu ya avatar
 
Then wadau katika siku zangu chache tangu nimeanza kubet...nimekuwa nikiangushwa n timu maalufu kama Man U n.k..nadhani zinakuwa na upinzani mkubwa na matokeo yake huwa hayatabiriki...so tuendelee kubet underground machi.......hiyo ndo analysis yangu unaweza kutumia na ikakusaidia...Gnite
 
Hapo umeongea aisee
 
Wakuu najisajili 1×bet imefika sehemu ya kuweka currency, niweke ipi,msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…