Slim Corleone
Member
- Mar 6, 2015
- 65
- 28
KAKA KWA RUHUSA YAKO naomb niuchukue kama ulivyo na naweka elf 30000 naona huu unabaraka zote za pasaka aisee
KAKA KWA RUHUSA YAKO naomb niuchukue kama ulivyo na naweka elf 30000 naona huu unabaraka zote za pasaka aisee
Another ticket out 95%
Hahahahaa na atapigwa tuu subiri siku yake.
Real madrid WIN (cap)
feyernood WIN
Ajax WIN
Zenit WIN
Bordeux WIN
Galatasaray WIN
Valencia WIN
naona Mnyakatari hapo kwa madrid mambo yashanyoooka
wekeza hapa leo.
Real madrid (win)
barcelona (win)
valencia (win)
zenit (win)
ajax (win)
wekeza hata laki moja!!! Lazima ujichotee mpunga wa maana.
no harm done mpwa,u did your best and mistakes are acceptable.tuendelee na kaziAisee hii game imeniuma sana, nina hakika muhindi kanifanyia uchawi hapa baada ya kuona wiki mbili hizi namuua kula siku. Haya majina Milwaukee na Minnesota niliyachanganya baada ya kujua anacheza na Milwaukee ambaye yuko juu yake kwenye league nikajua anakipiga na Minnesota ambaye ni wa mwisho kwenye ligi. Ndio maana nilikuwa na kiburi cha kuweka Full Time atashinda. Poleni sana kwa hili, yaani nilimwacha Orlando Magic mwenye point mbele nikawapa hao mazuzu
leo naua mhuhidi madridi na ajax ishatiki tiyari.
leo naua mhuhidi madridi na ajax ishatiki tiyari.
Ajax naona keshachana mkeka wako mkuu