FC basel na Malmo fc hizo timu zinaongoza kwa kunyima utajiri kwa vijana duniani. Ziogope kama ukoma.
Sirudii aiseeeFC basel na Malmo fc hizo timu zinaongoza kwa kunyima utajiri kwa vijana duniani. Ziogope kama ukoma.
1×bet customers care yao mbovu kuliko betting zote, wamekauka na pesa zangu nmetuma screen shoot hakuna wanachokifanya dash!!Mkuu ni kweli hii ishu hauwez amini mpaka ikukute, binafsi sikuwahi kusumbuliwa nikawa nawashangaa wadau. Kuna siku niliwithdraw 80K tu kilichotokea sishangai tena mtu kulalamika
Usiwatumie hizo screen shoot customer care....tuma email kwa technical team kupitia info@1xbet.com ukiambatanisha...screen shoot za payment detail, National ID, account number ya 1xbet, namba ya simu uliyotumia kufanya muamala...1×bet customers care yao mbovu kuliko betting zote, wamekauka na pesa zangu nmetuma screen shoot hakuna wanachokifanya dash!!
Samahan brother huwa unatumia kampuni gan kwaajili ya inplay?Inplay
Uefa
Besiktas vs Bayern
Yellow card: Besiktas over 1 yellow card full time
Odds: 1.55
1xbet hiyoSamahan brother huwa unatumia kampuni gan kwaajili ya inplay?
Shukran [emoji4] [emoji4]1xbet hiyo
Jana kaninyima elf 60 hiv hiv,.mse.nge sana,..sehem zingne kanakaza kwelFC basel na Malmo fc hizo timu zinaongoza kwa kunyima utajiri kwa vijana duniani. Ziogope kama ukoma.
[emoji120] [emoji120] nilipita nayo hii