Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ziko nyiingi mf. Meridian, Premierbet, Mbet, Princessbet, Mkeka nk.....ila hautopata option kama za uko 1xbet. So kuna tips za wadau utakua unaziangalia kwa macho.
Kweli mkuu. Tatizo hao wote premierbet, mkeka, mbet hawana options kama za 1xbet.. Meridian wanachokera mda mwingine ukii gia wakuambia "your country is blocked".. Kero tupu
 
Hapana ila wanazingua usajili. Hlf Id ya taifa cna; nina ya kura na inakataaa
Tumia fast registration...achana na hayo mambo ya kuweka National ID...
Ndio maana inakuambia wrong password sababu hujakamilisha usajili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…