Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya Monaco kumaliza mechi kwa sare ya 0..0 dhidi ya Monteplier naona Borussia Dortmund pia wameshaanza UJINGA wao...tena wamekatwa 2..1 hadi saivi dakika ya 35 anyway tusubiri tuone
Alafu mbaya nyingine ni Sheffild kupigwa 1...0 mpaka saivi dakika ya 18,,pia tunasubiri......
Mmh Villa 1....qpr 1.dakika ya 19 saivi.....aiseee...napumulia Mashine!!
 

Hatari sana mkuu, nimepigwa hapa za uso, ila kesho nayo ni siku, kuna mkeka wangu mmoja ulobak cjui kama ntaambulia chochote
 
mtoto wa nzi,sumve,curry wazee tukutane kwa kikapu jamani

Hahahahaaaa....hakuna siku nimecheka kama leo, sidhani kama kuna mtu kapona, siamini ka kuna mtu hakumpa Monaco, naposoma comments humu sina mbavu, ila ngoja tu siku zake zinahesabika mshenzi huyu.
 
Hahahahaaaa....hakuna siku nimecheka kama leo, sidhani kama kuna mtu kapona, siamini ka kuna mtu hakumpa Monaco, naposoma comments humu sina mbavu, ila ngoja tu siku zake zinahesabika mshenzi huyu.

Mkuu mm nlimkacha monaco.. Nangojea ngojea nione
 
Hahahahaaaa....hakuna siku nimecheka kama leo, sidhani kama kuna mtu kapona, siamini ka kuna mtu hakumpa Monaco, naposoma comments humu sina mbavu, ila ngoja tu siku zake zinahesabika mshenzi huyu.

mimi nilimuweka kwenye mkeka wa general baada ya mshikaji wangu mmoja kunishawishi ila nimepoa kabisa
 
Hahahahaaaa....hakuna siku nimecheka kama leo, sidhani kama kuna mtu kapona, siamini ka kuna mtu hakumpa Monaco, naposoma comments humu sina mbavu, ila ngoja tu siku zake zinahesabika mshenzi huyu.

leo monako na borrusia dortmund watatukanwa sana humu subiri uone sumve hutoamini macho yako
 
hahahahaaaa....hakuna siku nimecheka kama leo, sidhani kama kuna mtu kapona, siamini ka kuna mtu hakumpa monaco, naposoma comments humu sina mbavu, ila ngoja tu siku zake zinahesabika mshenzi huyu.

ulimuona monaco kwenye tip yangu!!!!!!
 
leo monako na borrusia dortmund watatukanwa sana humu subiri uone sumve hutoamini macho yako

Hahahaaaa...naona hata ule mkeka wa 100% wa Dragondreamx unapumlia mashine, kidogo nijilipue nao aisee, hao Crusaders wamebanwa vibaya sana.
 
Last edited by a moderator:
GSW win
Miami win
OKC v SAS under 115

Cc: mtoto wa nzi, pekesi, sumve2015, raimundo, steph curry & Basket Co
 
unakumbuka ushauri wako juu ya hizi timu?

usione nalia humu aseeee..... Hiii kwangu ni kazi...... Imenisomesha....nasomesha watoto wa dada yangu st.mathews...nasomesha mdogo wangu udom.....nasomesha mpwa wangu lika moja ...anamalizia computer engeneering....a.i.a arusha....... Afu maza kastaaafu.... Mi ndio dingi...maza...braza...dogo...nnapotoa tip....NAIFIKIRIA MNOOOOOO......... MNAPOONA NAPOTEA JUA HIZO SIKU MECHI NI NYEUSI....
 
Unamaana gani? kwenye football mwisho ni dak 90 tu na zile injury minutes basi baada ya hapo ka matokeo ni tofauti na ulivyobet bas umeliwa, vivyo hivyo kwenye kikapu overtime haihesabiwi.

mkuu hebu nipe mkeka wa kikapu leo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…