Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,626
- 4,327
Mtoto wa nzi Sumve 2015 kuhusu extra time hii imeiaaje?
usione nalia humu aseeee..... Hiii kwangu ni kazi...... Imenisomesha....nasomesha watoto wa dada yangu st.mathews...nasomesha mdogo wangu udom.....nasomesha mpwa wangu lika moja ...anamalizia computer engeneering....a.i.a arusha....... Afu maza kastaaafu.... Mi ndio dingi...maza...braza...dogo...nnapotoa tip....NAIFIKIRIA MNOOOOOO......... MNAPOONA NAPOTEA JUA HIZO SIKU MECHI NI NYEUSI....
GSW win
Miami win
OKC v SAS under 115
Cc: mtoto wa nzi, pekesi, sumve2015, raimundo, steph curry & Basketball Co
Nmecheki saizi wamevishusha viko 110 aisee washenzi wanaweza fikisha hao, niko nafatilia kuona ka ni safe.
GSW win
Miami win
OKC v SAS under 115
Cc: mtoto wa nzi, pekesi, sumve2015, raimundo, steph curry & Basketball Co
mdau acha tu...leo nayo siku
tutoke vipi
sevila win
mk dons win
atletico madrid win
braga win
wolfsburg win
odds 7.23....!!!!!!!
nani alinifata hapa......!!!!!!!......my tips are freeee......
mtoto wa nzi sumve 2015 kuhusu extra time hii imeiaaje?
Actually niiufata kosa nililolifa nikumuongeza Monaco,nani alinifata hapa......!!!!!!!......my tips are freeee......
mda bado kaka tulia wanaweza toa droo ukazimia hapa
Jamani ....mimi ni mchumi ....."principal econo
ist".... Mdogo tanzania ...... Pia mwanamichezo......... Nimesoma shule za kimichezo..... Na ni pro basketballer...volleyboller....n footballer....... Kwa kuwa ni mtu wa watu "economist"..... Nna post the obviously ones yaani "yawezekanayo"....... Luv u alll........
Actually niiufata kosa nililolifa nikumuongeza Monaco,
Atlanta-Phoenix 201-215
New Orleans-Golden 201-215
LA Clippers-LA Lakers 201-215
odd 13
ni option inaitwa 'NBA POINT RANGE'sijakuelewa hapo mkuu over under au unataka tudis?
Mkuu naomba tuition kwenye basket ball nimefuatilia data ulizozitoa nikaingia kwenye systerm nikashidwa kabisaa kwa sababu sijawahi , na wala sijui kubet basket ball . nisaidie tu leo nijue 201 - 215 inamaana gani na inapatikana kwenye opition ip ya bet type? zaidi ya hapo ubarikiwe saaana nimeiga od zako za football naona zimejib japokuwa niliweka dau dogo.Jamani ....mimi ni mchumi ....."principal econo
ist".... Mdogo tanzania ...... Pia mwanamichezo......... Nimesoma shule za kimichezo..... Na ni pro basketballer...volleyboller....n footballer....... Kwa kuwa ni mtu wa watu "economist"..... Nna post the obviously ones yaani "yawezekanayo"....... Luv u alll........