Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

 
Embu toa somo jinsi ya kuactivate namba ya simu mkuu
Maana malalamiko yamekua mengi sasa
Fungua app then nenda "my account" then gusa kwenye kialama cha kuedit hicho juu hapo kama kalam, bofya hapo then "change my phone number"

Utakapobadili namba, hakikisha umbeandika ktk mfumo kama huu 7620782** na wala siyo 07620782**

Baada ya kujaza namba yako ya sim, utaletewa sms yenye codes ili uzijaze.

Jaza codes hizo, confirm, tayari mchezo umeisha
 
Safi mdau tayari
Nafikiri na hao waliokua wanalalamika wakijaribu kufanya hivi wanaweza wakafanikiwa kuwthdraw
 
Bhandugu Mimi ni mdau sana wa kubet ila sijawahi kula hela kubwa zaidi 50,000. Sasa Kuna option ya 1x2 BTTL mkekabet. Naomba wale wataalamu tubashiri matches za Leo zitakazofungana na kuonesha nani mshindi, option hii ukiwa na mechi zako NNE tu za uhakikika unakuwa milionea kwa buku mbili.
 
Tatizo kuziotea..na ni wajanja zile zinazotoa baadhi hawaweki.
 
Tatizo kuziotea..na ni wajanja zile zinazotoa baadhi hawaweki.
Ila Kuna jamaa wanatoa predictions mtandaoni kwa %. Naona leo wameweka hizi zitakazofungana
Fulham vs Leeds(home win)-78%
Hibernian vs Hamilton(home win)-65%
A Vila vs Reading(home win)-64%
Atalanta vs sampd(home win)-56%
Sevila vsBayern(away win)-56%
Wolves vs Hul(home win)-52%
Genoa vs Cag(hom win)-51%
Bolton vs birmg(home win)-44
Juve vs Madrid (away win)-38%
Motherwel vs Aberdin(him win)-37%
Bury vs Rochadale(home win)-38%
HIZO ZIMEKAAJE MKUU, TUZIPATE ZA UHAKIKA TANO TU.
 
Hii option hata mi naipenda sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…