futurestar
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 245
- 77
Hiyo ya chini na uwezekano wa kupigwa kesho hakunaKama kawa lazima ulipate maana uwezekano wa hiyo game kupigwa kesho hamna.
Kampuni gan hii mkuuAsubuh sana nasubiri mapene yanguView attachment 733674View attachment 733675
Mbet hao ndugu.Kampuni gan hii mkuu
Juve ni qumer sana...sasa nimesadiki dahJuve gg/bts
Crusaders gg/bts
Bayern win
Hibernian win
Atalanta over 8.5 corners
Odds za kibabe hizo chapa stake tukutane jioni
Aya hongera...na ulilost uwe unatuletea pia tukupe poleNilivyobet tu yan kabla mechi hazijachezwa nilikua na uhakia 95% kuwa lazma nikwapue mpungaView attachment 733679
Hii niliifata nikaongeza herbanian na inverness
Hz tips ulikuwa wap kutupa muda woteNilivyobet tu yan kabla mechi hazijachezwa nilikua na uhakia 95% kuwa lazma nikwapue mpungaView attachment 733679
ndio nani huyoAndrea Agnelli kapiga pesa ndefu sana...namuona kwa mbali akitabasamu kwa haya matokeo ya Juve....mitimu ya Italy ya kis3nge sana
Daaah samahanini wadauHz tips ulikuwa wap kutupa muda wote
alipewa kadi nyekunduJaman msaada wenu mbona naambiwa nimelosi wakat juve ana yelow tu au yelow ya diabala haihesabikiView attachment 733678
President/chairman wa Juve huyo....naona jana alibeti mujarabu kabisandio nani huyo
Wolves 250k lost
We jamaa hauopo serious unamuua barca hivihviHabari Wakuu .
Msaada wa Kuuza Ticket hapo chini 1×bet [emoji28][emoji28]
Stake 10000 Tsh
Possible Winning 1476843.72 Tsh
Game Mbili zishashinda Bado Mbili.View attachment 733696